Katika intelijensia, sayansi haisemi uongo

Mambo ya pcr

Polymerase chain reactions, lengths polymorphism

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee.....Sawa Mkuu,nilidhani tunaelimishana kumbe 'Mitusi' duh samahani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kila hatua utakayopiha ktk ufanikishaji wako wa tukio/uhalifu wako ndio alama zenyewe hizo ambazo zitakuelezea wewe ni nani.

DB Cooper pekee ndio aliweza kukwepa huo msala, japo pia aina ya tukio lake pia lilikuwa ni hatari kwa maisha yake kupita uhatari wenyewe
 
Is
Mhalifu anapokuwa anafanya uhalifu anakuwa na woga, hapo ni lazima aache alama! Kama kuna mtu ana ushahidi wa matukio ya uhalifu yaliyofanywa bila wahalifu kukamatwa alete ushahidi wake
Isdal woman na ile ya sumorton man
 
Mbn
Kwetu sisi watu wa forensic science huu ni uwanja wa nyumbani, unacheza na ma-DNA au fingerprint hadi unanasa mbakaji, mwizi, muuaji, n.k
Mbn kesi ya Isdal woman na sumorton man mapro walichemka
 
Wale forensic science hapa ndio stanford bridge unacheza na DNA, fingerprint na makolokolo mengine hadi unanasa mbakaji, jizi, muuaji. Ila hapa interrogation, listening, interpretation, intuition skills lazima ziwe at maximum level.
Nitarudi baadae
 
ivi db cooper ndo yule FBI walioshindwa kumpata??
kama ndie makala yake naipata wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Google,andika hilo jina lake zitakuja makala zaidi elfu ampaka za mtaalam THE BOLD kisha utapata full story za mtaalam huyo aliesumbua vichwa vya FBI kwa miaka daari mpaka kufikia hatua ya kufunga faili lake,na move kibao kuigiza tukio hilo,ni mmoja wa wahalifu wanaoeshimika duniani katika tasnia ya upelelezi.
 
Kutoacha alama ni ngumu.
Ni ngumu unaweza usiache finger print, footprint, damu. Lkn ukagundulika kwa style ya mauaji yalivyo fanyika(style yako ya kuua)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…