Katika ili wanawake humaanisha nini?

Katika ili wanawake humaanisha nini?

Kuna mdada nna dating nae muda tu.
Lakini mara kwa mara anapenda sana niambia kuna mtu flani alinitaka mara huyu ananifuata fuata yaan muda mwingine nakereka.....
Kuna siku nikamfuma ana flirt na watu mbele yangu ingawa anajificha nisimuone nikamuambia unasema watu wanakutaka wakati wewe mwenyewe ndio unawapa attention....akaomba omba msamaha kweli
Lakini licha ya hayo akawii kuniletea story za namna hiyo
Nimeshindwa muelewa kabisa
Kuingia kwenye mahusiano ni sawa na kuweka amani ya moyo wako in line. Je upo tayari kuendelea na hali hiyo ?
 
Kwa mwendo huo nadhani hutashangaa siku ukimkuta anapimwa oil na babake mdogo
 
Pole sana... anakuandaa ki-saikolojia... siku hata akiliwa aseme shetenai alimpitia...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom