Got you! DOB: 24 September 1976 . . . . haaa haaa, by 23rd September 2015 you will be 40. Haaa haaa kazi kwa CHADEMA, NEC na Msajili wakati huo. Watakapokuwa wanatoa forms kabla ya 23rd September; sheria inatambua hilo?
Ushindi wa BASE ni kama alionao Dr. Slaa. Tumemwona Bungeni kafanya nini, tumemwona Karatu kafanya nini. Wewe pia records zako ni njema ukilinganisha na Wabunge wengi.
Hakika Tanzania inaweza kubadilika. Iliwezekana USA kwenye ubaguzi wa hali ya juu na ubepari uliotukuka, a simple black man of Kenya origin akaingia White House, itakuwa Tanzania.
CHADEMA Leadership Must build both Technical Team and Political Team. Mnayo Silaha moja kubwa . . . kwa hili nazungumza kwa niaba ya Watanzania Woote: KUUNGANA. Tufikishie Salamu kwa Viongozi wote hasa wa vyama Vikuu: CHADEMA na CUF: Simply unganeni. Hakuna linaloshindikana. Mkianza kuongea sasa 2015 mtaweza. Watanzania Watawaunga Mkono pia. Msipofanya hivyo ushindi ni mgumu sana.
La mwisho, concept ya "Grass Root Movement" ndiyo peke yake inaweza kufanya kazi kwa mfumo wa nchi yetu. Wanatakiwa wabunifu wa hali ya juu, kutengeneza mikakati yake.
Tuko pamoja.
Nakubaliana na wewe Tanzania inaweza kubadilika. But mkuu that is not easy. The fact kuwa iliwezekana USA haina maana itawezekana kirahisi hivyo Tanzania. USA na Tanzania ni nchi mbili tofauti with completely different circumstances. Hata hivyo kazi kubwa sana ilifanyika USA. Pia wapiga kura wa USA ni tofauti kabisa na wale wa hapa Tanzania. Watanzania kwanza ni waoga na ni wagumu sana kubadilika. Wapinzani must do hard work to address these. Ndio maana unaikubali concept ya "Grass Root Movement"
Issue nyingine basically wapiga kura was USA walikuwa na options mbili tuu. Those who wanted status quo ibaki had the Republic; those who wanted change had the Democrat. Tanzania tuna CCM kwa wale wanaotaka status quo iendelee kutawala. Those who want change yaani upinzani have more options to choose from: CUF, CHADEMA, TLP, NCCR Mageuzi, just to mention the few. Hapo ndipo sio tuu kura zinapotea but also inacreate even more unforeseable problems. Lini upinzani will recognise this obvious thing, I dont know.
It takes time kumwandaa mgombea urais. Same happened kwa akina Obama na Cameron. Realistically, how can you pick someone in July and expect him to win a presidential election in October? Anaweza kweli kufanya Grass Root Movement ndani ya miezi mitatu?. Kwa mfano ilimchukuwa David Cameron miaka mitano kuwa UK prime minister. Kwenye hiyo miaka mitano alikuwa anaandaliwa kuwa the next prime minister. Alikuwa anafanya grass root movements. Sisemi kuwa Dr Slaa sio mchapakazi. That is not my point. Because sidhani kama Obama na Cameron wangeshinda kama wangejulikana within three months kabla ya uchaguzi kuwa watakuwa wagombea. Hata hizi tuhuma za kuiba mke wa mtu zisingejitokeza wakati wa kampeni kama Dr Slaa angekuwa ameandaliwa mapema.
People need to get used to someone as a next potential president. Sawa, he was probably the best MP, but urais ni kitu kingine tofauti. The fact that you were the best MP does not make you the best president and vice versa.
Wakuu the race for the presidency is a difficult one with many steps. nafikiri mmeona yaliyojiri Australia few weeks ago. Becoming a presidential candidate especially for the opposition takes preparation, planning, financial resources and dedication. You also need to build relationships with people who will support you throughout your candidacy. This is what as Superman mentioned "Grass Root Movement". But the bare fact is you cannot do this in three months.
Make an official announcement that you intend to run for President at least five years. This is usually done strategically. So Zitto Kabwe may be right. No need to wait until siku ya kwenda kuchukua fomu NEC. Recruit volunteers to help you with polling, making telephone calls, contacts and overall drumming up of support for you all over the country especially vijijini. Use both the old and the new strategies to spread the message as early as possible. All these are done even before registering with NEC.
Kuna mtu anayemjua campaign manager manager wa Dr Slaa or chadema responsible for helping him/chadema get the word out about his campaign through a variety of sources?