DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 680
Umeanza vizuri, but this statement is a rubbish conclusion. Labda nikukumbushe katika syllogism,Pili imepindisha kombora lililokiwa lije kupiga kambi zake likaenda kupiga ndege ya abiria ya Ukraine.
inabidi upimwe mkojowaliopindisha kombora
Ukraine atamshambulia Iran halaf Somalia watakasirika sana, kwa hyo Marekan atakuwa kafanikiwa kuwagombanosha Tz na Kenya.Umeanza vizuri, but this statement is a rubbish conclusion. Labda nikukumbushe,
When the Major statement is wrong, whatever the Minor statements correct might be, the Conclusion will be wrong!
Hopeless comment!! Hahahaha.Umeanza vizuri, but this statement is a rubbish conclusion. Labda nikukumbushe,
When the Major statement is wrong, whatever the Minor statements correct might be, the Conclusion will be wrong!
Halaf suala jengine nikwamba US Kama Angekua Na Kauwezo Chakuanzisha Vikundi Pandikizi Ndani Ya IRAN Kama Unavyosema Angelishafanya Toka Mwaka 1979 Kuliko Matisho Anayoyatoa Kwa ssHapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli
..........
Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya watu 176
........................
Kwanza Marekani imeua kiongozi muhimu sana wa iran.
Pili imepindisha kombora lililokiwa lije kupiga kambi zake likaenda kupiga ndege ya abiria ya Ukraine.
Ukitaka kuamini hili,baada ya ndege tu kupigwa washirika wa USA,yaani Uingereza walitoka na madai kuwa ndege hiyo haikupata tatizo la kiufundi badi ilidunguliwa na Iran.
Mwanzoni Iran walikana,mwishowe wakakubali,sasa jiulize Uingereza walijuaje kuwa Iran ndio walioidungua hiyo ndege,jibu ni kuwa wao na USA ndio waliopindisha kombora likaenda kupiga ndege ya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa Ukraine ni mshirika wa Russia na Iran pia ni mshirika wa Russia,so hapo Marekani atatengeneza tena ugomvi wa Ukraine na Iran, Ukraine watakuja kudai kuwa ni kwanini Iran apige ndege yao na hapo USA watachochea mgogoro.
Sasa Raia wa Iran wanafanya maandamano kuituhumu serikali yao ni kwanini imedungua hiyo ndege.Kosa kubwa walilofanya serikali ya Iran ni kukubali madai ya Uingereza kuwa wao ndio waliodungua kimakosa.
Ni Bora wangenyamaza kimya,wakaendekea kukanusha.Sasa hapo USA atapata mwaya wa kuanzisha vikundi vya waasi kupinga serikali yao na kuanza kudhoofisha serikali ya Iran kama ilivyokuwa siria.
Katika mgogoro huu,USA atakula Tatu mzuka.Ameua jeneral wao muhimu,ameanzisha mgogoro kati ya raia na serikali na pia atachochoa uhasama kati ya iran na Ukraine washirika wa hasimu wak mkubwa Russia.
Didas Tumaini
Pili imepindisha kombora lililokiwa lije kupiga kambi zake likaenda kupiga ndege ya abiria ya Ukraine.
Umeona eh! Apimwe mkojo tena wa asubuhi mid stream!inabidi upimwe mkojo
Marekani ni mabingwa wa strategies siwezi kushangaa waiache kambi yao ipigwe na mabomu niliwahi soma nyuma ya pazia kilichotokea Pearl Harbor nikabaki mdomo wazi yaani lile tukio lilikua full compromised intelligence community ya Marekani ilikua full acknowledged na tukio ila waliacha litokee Unajua kwa nini? .......hiyo ndo America baba wa fitna kiwango cha lamiMkuu, with due respect; ungejaribu kukusanya taarifa kwanza kabla ya uchambuzi wako.
Anyways, maandamano haya ni ya kawaida kabisa, sema tu yanakuzwa. Kuna maandamano mengi tu huwa yanatokea.
Haya hayajayafikia hata yaliyotokea mwishoni mwa mwaka jana.
Ndio, ni mabingwa lakini sio mara zote.Marekani ni ma
Marekani ni mabingwa wa strategies siwezi kushangaa waiache kambi yao ipigwe na mabomu niliwahi soma nyuma ya pazia kilichotokea Pearl Harbor nikabaki mdomo wazi yaani lile tukio lilikua full compromised intelligence community ya Marekani ilikua full acknowledged na tukio ila waliacha litokee Unajua kwa nini? .......hiyo ndo America baba wa fitna kiwango cha lami
hapana yko sahihi maelezo imebeba key point na key ppint hapa ajali iliyosababishwa na kupinshwa kwa kombora la iran lililokuwa linakwenda kwa marekani. kupindishwa ndo shida kubwa labda kama unabisha onesha know how kwamba inawezekana au haiwezekaniHopeless comment!! Hahahaha.
acha uwongoHapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli
Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya watu 176.
Kwanza Marekani imeua kiongozi muhimu sana wa iran.Pili imepindisha kombora lililokiwa lije kupiga kambi zake likaenda kupiga ndege ya abiria ya Ukraine.
Ukitaka kuamini hili,baada ya ndege tu kupigwa washirika wa USA, yaani Uingereza walitoka na madai kuwa ndege hiyo haikupata tatizo la kiufundi badi ilidunguliwa na Iran.
Mwanzoni Iran walikana, mwishowe wakakubali,sasa jiulize Uingereza walijuaje kuwa Iran ndio walioidungua hiyo ndege, jibu ni kuwa wao na USA ndio waliopindisha kombora likaenda kupiga ndege ya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa Ukraine ni Mshirika wa USA na Iran pia ni mshirika wa Russia,so hapo Marekani atatengeneza tena ugomvi wa Ukraine na Iran, Ukraine watakuja kudai kuwa ni kwanini Iran apige ndege yao na hapo USA watachochea mgogoro.
Sasa Raia wa Iran wanafanya maandamano kuituhumu serikali yao ni kwanini imedungua hiyo ndege. Kosa kubwa walilofanya serikali ya Iran ni kukubali madai ya Uingereza kuwa wao ndio waliodungua kimakosa.
Ni Bora wangenyamaza kimya, wakaendekea kukanusha. Sasa hapo USA atapata mwaya wa kuanzisha vikundi vya waasi kupinga serikali yao na kuanza kudhoofisha serikali ya Iran kama ilivyokuwa Syria.
Katika mgogoro huu, USA atakula tatu mzuka. Ameua jeneral wao muhimu, ameanzisha mgogoro kati ya raia na serikali na pia atachochea uhasama kati ya Iran na Ukraine.
Didas Tumaini
Kama mama yako alivyo hopeless kwa baba yako kumpiga chengaHopeless comment!! Hahahaha.