Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

I suspect nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania na Kenya hakuna tume za uchaguzi zaidi ya watekelezaji wa ushindi wa upande mmoja tu. Katika records nyingi zinaonyesha wasimamizi wa kimataifa, kikanda na makundi maalum yakitoa taarifa za kutokuridhika na uchaguzi kuna hatua gani inachukuliwa hakuna zaidi ya baada ya muda kuungana na kumpongeza aliyeshinda. Je katika mazingira kama hayo asimilia ya ushindi iliyotangazwa dhidi ya mshindi fulani zina-akisi hali halisi ya matokeo. Kwangu jibu ni hapana. Sijui wewe jibu lako nini hapo.

 



tunaomba kura za urais za kila jimbo ili tuupate ukweli
 
unachokisema kinawezekana japo silazma kitokee.na ikiwa hatuna ushahidi wa kwamba kimetokea tusiseme kimetokea.je?ni tume gani ya uchaguzi iliyosimamia uchaguzi ambao umetoa wabunge kibao wa upinzani 2010?ni tume gani iliyokuwepo ambayo imekuwa ikiwatangaza wabunge wa upinzani kuwa ndio washindi kwenye chaguzi ndogo zinazofanyika mara kwa mara nchini?je?unadhani maokeo wanayotoa yanakuwa si sahihi?mazingatio.sipingi kwamba tume ya uchaguzi haina mapungufu tena makubwa.
 
Mkuu big up, unajua kiswahili wakati mwingine ni kigumu, nashauri tumia neno la kiingerea tu, I mean decade. Makala yako ni nzuri ila sema mi nilidhani neno muongo ni a lier of the decade, sasa sikuzama kusoma nikajua wewe ndiye lier, kumbe ni kinyume. Samahani sana kwa kukukwaza!
 
Mkuu,ingependeza zaidi kama heading ingekuwa DR SLAA NI MWANASIASA BORA KWA UHONGO (KUDANGANYA)
 
Muongo ni mama yako alimdanganya mwanaume aliyekuambia ni baba yako kumbe kuwa wewe ni mtoto wa msukuma mkokoteni alimchapa nao mama yako. Nenda umtafute baba yako wa ukweli huko kitaa.

Mkuu,ni vyema ukanyamaza kuliko kuandika matusi, argue don't shout kwa lugha zisizo na staha...
 
slaa ni raisi haina malumbano hiyo ccm kifo chenu 2015
 
Mkuu,ni vyema ukanyamaza kuliko kuandika matusi, argue don't shout kwa lugha zisizo na staha...
kweli mkuu Mbelwa Germano samahani sana tena sana! Nimerekebisha quote yangu hapo juu. Makala yako ni nzuri tu sema kiswahili. Pitia hapo juu uone ufafanuzi wangu. Ila so sorry kwa kukukwaza, sikufahamu ila so sorry pia kwa wazazi wako, I believe chukulia hii ni kama joke ndani ya jukwaa maana Dr Slaa ni tegemeo, ni mtu pekee aliyetuwezesha sisi watanzania kujitambua kuwa tuna stake ktk maendeleo ya nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…