Katika hii episode nani atapoteza kitengo kati ya Waziri na mkuu wa jiji?

Makonda aliongea maneno yale kwa context ya Kanisani. All in all, "kosa" lake ni ile kuyaingiza kimyakimya, then kuyakana hadharani, then kuandika barua TRA kuomba msamaha bila kufuata utaratibu na mwisho kabisa kujitokeza hadharani na kuyakubali. Why aliyaleta kwa jina lake binafsi? Kuna harufu ya usanii mkubwa
 
mie sijui kwa nini Makonda amekua mkimya siku hizi,au ameona anakosa ushirikiano kutoka serikalini,kukimbilia kanisani inaonyesha jinsi anavyo feel helpless...anaweza kuwa depressed,kikubwa Makonda ana hofu ya Mungu lia na Mungu wako mwaya...ameshakupigania kwa mengi..keep having faith
Kuna Mungu wengi fafanua,mungu jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mie sijui kwa nini Makonda amekua mkimya siku hizi,au ameona anakosa ushirikiano kutoka serikalini,kukimbilia kanisani inaonyesha jinsi anavyo feel helpless...anaweza kuwa depressed,kikubwa Makonda ana hofu ya Mungu lia na Mungu wako mwaya...ameshakupigania kwa mengi..keep having faith
Mungu gani?
 
Huna lolote Magufuli mwenyewe ndio mkono wa makonda
 
Back
Top Bottom