Hayo maswali huwa hawayataki kabisa!
Mkuu wa nchi alisema nanukuu " tumegundua kuwa wanafunzi wengi wa UDOM walikuwa ni vilaza" mwisho wa kunukuu. Sasa swali je, mbona hamkumuuliza na mwanae humo, maana wake nae ni kilaza aliyepitiliza, acheni kutumika kama Condom.