Lifike hata Trilioni 200,tunajenga nchiTangu Magufuli aingie madarakani deni la taifa limepaa kutoka trillion 28 hadi trillion 60,
sasa endeleeni kununua watu.
Lifike hata Trilioni 200,tunajenga nchiTangu Magufuli aingie madarakani deni la taifa limepaa kutoka trillion 28 hadi trillion 60,
sasa endeleeni kununua watu.
Mapande ya nya au ugali?Ndio maana unaambiwa ccm iko mapande mapande
Lifike hata Trilioni 200,tunajenga nchi
Mbona Lowassa alipohama ccm hajarudisha kadi ya ccm, tuseme naye hajaacha ideology ya ccm japo yupo chadema?Tatizo linakuja pale muhamaji hajakili kuacha itikadi iliyompa ubunge huko atokako pale anapoonekana akiongea kwenye press. Ni wachache wanaokili ideological shift.
Watakaohama tena waambiwe wake wawazi zaidi wasitoe sababu za juujuu.
Baada ya karibu miaka sitini ya uhuru Tanzania bado ni miongoni mwa nchi masikini sana duniani na chama ni kile kile miaka yote. Sasa kuna ni nini cha kujivunia hapo.Chama chenu hakitaki maendeleo ...mwanachadema anayetaka maendeleo na kuisifia Ccm anaitwa msaliti na kufutwa chama sasa unataka wabunge na madiwani hao wafanyeje?
Acha wahame na kujiunga kwenye chama chenye lengo,nia na utekelezaji wa maendeleo ya kweli.
inawezekana. watafutwe wahojiwe na waandishi wa habari wanaweza kueleza vizuri.Mbona
Mbona Lowassa alipohama ccm hajarudisha kadi ya ccm, tuseme naye hajaacha ideology ya ccm japo yupo chadema?
Tangu Magufuli aingie madarakani deni la taifa limepaa kutoka trillion 28 hadi trillion 60,
sasa endeleeni kununua watu.
ccm haikushinda buyunguMapande ya nya au ugali?
ccm ingegawanyika mngeshinda Buyungu
Nape na Bashe walipopanda jukwaani mliwalaani
Ila Nape akiwa Waziri alikuwa hakosoi alipotolewa tu uwaziri akaanza kujiropokea mbona Mwigulu kapiga kimya na kuonyesha maturity.
Sent using Jamii Forums mobile app
KWa hiyo kutumia mabilioni ya fedha kununua wapinzani then kuitisha uchaguzi uchwara huku mkitumia vyombo vya dola kulazimisha ushindi ndio unayaita maendeleo sio?!Chama chenu hakitaki maendeleo ...mwanachadema anayetaka maendeleo na kuisifia Ccm anaitwa msaliti na kufutwa chama sasa unataka wabunge na madiwani hao wafanyeje?
Acha wahame na kujiunga kwenye chama chenye lengo,nia na utekelezaji wa maendeleo ya kweli.
Sioni kibaya alichoongea nape!
Nchi ambayo wananchi wake hata maji safi ya kunywa shida Eti inatumia mabilioni kurudia uchaguzi kisa Watu wanaunga mkono juhudi za rais!
Halafu huyo raisi anajigamba rais wa wanyonge Mara ana bana matumizi huku anafurahia huu upuuzi!
Hivi bado wapiga kura wa nchi hii wana haki ya kumchagua kiongozi au wana haki ya kuchaguliwa kiongozi?Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Ngemela Lubinga, akizungumza na Mwananchi juu ya Kauli ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kuwa mtu anayehama Chama ahame na ubunge wake; amemtaka Nape aweke wazi kama ana ajenda nyingine ya siri ili ifahamike wazi. Kanali Lubinga alidai kuwa, "haiwezekani hata kubadilisha sheria kwa sababu suala hilo lina mkanganyiko."
Kanali Ngemela alifafanua kuwa, "Itikadi ya Chama ndiyo inakifanya kishinde Uchaguzi, hivyo kuhama na uwakilishi ni kuwanyima haki wapiga kura waliomchagua kwa itikadi ya Chama chake."
Kwa hali hiyo, "Atuambie kama ana ajenda ya Siri."
View attachment 842058
Je, wamemchoka ama?
Je, Nape anajua hana chake ndani ya CCM come 2020, so anatamani ahame sasa hivi na ubunge wake?
Je, bado Bashiru atamlinda na ukosoaji wake huo unaopinga Chama kupata wafuasi wapya na wenye ushawishi?
umeshinda weweccm haikushinda buyungu