Katibu wa CHADEMA Kilimanjaro Akalishwa chini katika Kongamano Moshi

Wewe unayaona maendeleo hmmmm!!!!!!!!! pole sana. unamfahamu mfalme juha katika vazi la UCHI? ndiko uliko wewe.
 
Kwa miaka 50 wameweza kupima 1% ya ardhi yetu
 
Hayo maneno nenda muwaambie hao nyoka wa mererani wasio na hata darasa moja, tunajua akina mtei and co walivyoifanya keki ya taifa kuwa keki ya wachaga lakini KUNGUNI hamna shukrani kabisa.

Ni nyie takataka wachache mlio Mentally Castrated ndio bado mnaosapoti Chama Mfu CCM. Wenzio akina Shyrose hawakuwa wanakipenda kihiivyo, ila waliahidiwa ukuu wa wilaya, walipojua kwamba hili Duduvule lao halina mwelekeo sasa wameanza kulichana laivu! Ni wewe na Masaburi wenzio wachache akina Nyani Ngube wa Clouds FM (Radio ya Wafu), ndio ambao bado mmebaki na ndoto kwamba mtakumbukwa. Imekula kwenu!
 
Hayo maneno nenda muwaambie hao nyoka wa mererani wasio na hata darasa moja, tunajua akina mtei and co walivyoifanya keki ya taifa kuwa keki ya wachaga lakini KUNGUNI hamna shukrani kabisa.
Kumbe wewe ndiyo umegeuka kunguni sasa kumekucha Bro tumeamka hakuna kunyonya damu tena. Mafisi wa ahadi
 

Alipopewa mic alitakiwa kufanya nini sasa?
Na hao wa4 waliomtangulia waliongea nini?
Na, je! ilikuwa ni lazima utukuze hayo "mafanikio ya uhuru"?
Kama majibu yote ni ndio, basi Ndugu huyo alipotea njia kwa kutoka kwa waliopotea!!
 
miaka 50 tulitakiwa kuwa mbali sana zaidi ya hapa tulipo!kasi ya maendeleo imekuwa ndogo kulinganisha na umri wa taifa letu pia ukiangalia rasilimali tulizonazo yaani kila siku eti "kasungura" kadogo so hakatutoshi!jamani hako kasungura kanakuwa kiumri lakini hakanenepi?daima tunalia umaskini huku tukiimbika na mikakati mbalimbali lakini badooooo hatupigi hatua za kuridhisha!
 
Hongera kwa kuleweshwa na sumu ya magamba, kwenu kukosolewa ni kuchafua hali ya hewa na ni vema ukautajia umma hayo tuliyopata kwa miaka 50 vinginevyo huna hoja subiri miungu wako wakupe lingine la kubwatuka.
 
Duh, nadhani alitamani ardhi immeze kwa aibu, tehe tehe tehe tehe
Hukujali hilo kwani anajua wazi wakuu wa mikoa huteuliwa na kiongozi wa mafisadi ambao ni adui wa umma hivyo lazima walambe viatu na matapishi ya aliyewateua nadhani kalembo alitaka kusikia kuwa maendeleo makubwa yamepatikana umeme-giza nchi nzima, bora elimu kila kata na upupu mwingine wote wanaouimba kuwa ni mafanikio ya ccm huku wananchi wakiteseka hamna hoja nyamazeni
 
Hongera kwa kuleweshwa na sumu ya magamba, kwenu kukosolewa ni kuchafua hali ya hewa na ni vema ukautajia umma hayo tuliyopata kwa miaka 50 vinginevyo huna hoja subiri miungu wako wakupe lingine la kubwatuka.
<br />
<br />
Mkuu! Yani mafara wengine wanasubiria wamezwe na ardhi tu na ingali wanajua hilo kbs wanaingia humu kuchafua hali ya hewa tu! Mijitu mingine yanaudhi sana!
 
Nadhani pamoja na kuangalia hatua tulizopiga baada ya miaka 50, tunapaswa kutafakari ni wapi tulipokosea ili tujirekebishe. Ukiangalia Tz peke yake hatua tulizopiga bila kujilinganisha na wengine tutajiona kuwa tumefanya kazi nzuri sana, lakini tukijilinganisha na wengine nini walichokifanya kwa kipindi cha miaka 50 tutajikuta kuwa tuko nyuma sana. Ukienda vijijini yupo anayeonekana ana maendeleo kuliko wenzake, labda kwa kuwa na nyumba ya udongo lakini imeezekwa kwa udongo. Lakini anapolinganishwa na watu wengine katika vijiji vingine anaonekana duni sana.

Katika harakati nyingi zinazoendelea kuazimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika wengi wanazungunzia hatua chanya tulizopiga, hii ni sawa na mwanafunzi anayeshika nafasi ya kwanza shuleni mwake, lakini akipambanishwa na wanafunzi wenzake wa shule nyingine wanaoshika nafasi ya kwanza anakuwa wa mwisho. sisi sio kisiwa, pamoja na rasilimali nyingi tulizojaliwa na Mwenyenzi Mungu tulipaswa tuwe mbali kuliko hapa tulipo.

Tatizo la watu wa aina hii ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ni swala la kuwa na mawazo mgando, na kutokubali kutofautiana kimtazamo. Hata mtu akihutubia au akirap, ukisikiliza kwa makini utazipata point za kujenga nyingi.

TUKUBALI KUVUMILIANA NA PIA KUTOFAUTIANA KI MTIZAMO, KWANI HATUKO SAWA KIFIKRA NA KIMAONO.
 
hakuna zuri la kusifia. yote ni yaliyotokea kwani hayakuwa na jinsi ya kuyazuia.
<br />
<br />
umejitahidi kutaja mabaya mengi ya serikali, sasa kwa kuwa fair hebu taja jema moja tu la serikali katka miaka hii 50 ya uhuru. usiwe mnafiki.
 
Wacheni ubishi, LEMA alistahili kabisa kunyang'anywa mic. Huyu bwana ni msema hovyo asiyejali hata uwepo wa wastaarabu ktk kongamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…