Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
Bora wametoka chama cha majuha hakina mwelekeo tena chagadema hakifai tena.
Nimesoma gazeti moja linaloaminika na wengi kuwa kiongozi huyo aliyeamia ccm amelalamika kuwa chadema walimwambia akope vifaa mbalimbali vya ujenzi wa mnara wa marehem Daudi mwangosi nyololo akakopa lakini hadi leo chadema haijalipa na anasumbuliwa sana wenye maduka ambako alikopa na amesema na mwenye kiwanja ulipojengwa mnara wa Daudi Mwangosi hajalipwa hadi leo anadai fidia ya kiwanja chake. Hela ya mbowe kwenda south Africa juz juz kujivinjari huku akiwaacha wafuasi waandamane peke yao ilipatikana lakin fedha ya mnala wa mwangos hadi leo hakuna, TAFAKARI!
Katibu wa chadema kata ya Igowole wilaya Mufindi ndugu Josephat Sebadi Soda na wenzake 27 wamehamia chama tawala cha ccm.
Hivi kwa mfano Lau Masha akihamia CDM halafu nikaandika mbunge wa nyamagana (ccm) ahamia cdm mtanielewa kweli?
Mkuu chadema wanagahamika wako ki maslahi zaidi, wanawadanganya watu eti wanataka kukomboa nchi, nchi gani eti Tanganyika. Shame shame.
Mkuu chadema wanagahamika wako ki maslahi zaidi, wanawadanganya watu eti wanataka kukomboa nchi, nchi gani eti Tanganyika. Shame shame.
Slaa bado analipia kadi yake ya ccm huyo siku si nyingi atarudi, lakini Zitto angekuwa na kadi ya ccm siku nyingi angekuwa ameonekana msariti.