Katibu wa CHADEMA Iringa, Jackson Mnyawami akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya kutoa lugha ya kuudhi dhidi ya DC Kilolo

kukosoa hakutakiwi. kinachohitajika ni kusifia tu. mbaya zaidi jeshi la polis linaendeshwa kisiasa na watawala.
 
IMG_20170814_101815.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Asia Juma Abdallah!

Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Iringa Jackson Mnyawami, amekamatwa na Polisi jioni hii na kupelekwa Kituo cha Polisi Mazombe Wilayani Kilolo kwa kutuhuma ya kutoa lugha ya kuudhi mtandaoni dhidi ya Mkuu wa wilaya ya Kilolo.

Inadaiwa kwamba Mnyawami aliweka kwenye kundi la wana Kilolo video yenye nukuu ya majaji wakizungumzia uvunjwaji wa sheria unaofanywa na baadhi ya Wakuu wa Wilaya nchini na kuandika maneno yenye kuonesha kwamba ujumbe huo unamhusu pia Mkuu huyo wa Wilaya.
Huenda akaunganishwa na TWAWEZA.
 
HII ITAISHA TANZANIA IKIPUNGUA TU IDADI YA WAJINGA. NA CRITICAL PEOPLE WAKIONGEZEKA TU MWISHO
 
Bw. Mnyawami kaachiwa na Polisi muda mfupi uliopita kwa kujidhamini yeye Mwenyewe!!
 
Back
Top Bottom