Katibu wa CHADEMA Hai ahamia CCM

Katibu wa CHADEMA Hai ahamia CCM

Sasa ni dhahiri jimbo la Hai linarudi CCM baada ya Katibu wa Chadema HAI kutorokea CCM.

Wananchi wa Hai wamechoshwa kumuona Mbowe akisafiri mpaka kuwa mtaalamu wa kuweka gia za angani.sasa wanamtaka Danstan Mallya kuwawakilisha bungeni.
Ni kweli hujui nani anaeongoza kusafiri jamani?? au ushapiga zanzi???
 
Ni kweli hujui nani anaeongoza kusafiri jamani?? au ushapiga zanzi???

Kwa hiyo rais kama amesafiri sana na mbunge unaamua kusafiri tu!
Swali ni moja tu safari zake zina manufaa gani kwa watu wa HAI?
 
Hahaaaa.....huyo anatofauti na zitto kweli???!!
 
jingalao kama ungekuwa kuku, ungekuwa unavunja mayai yote, kwa jinzi usivotulia
 
ss tuna kingunge wao wana katibu wa wilaya,tumewapiga bao
 
Hizi uzi nyingine jamani ,watu wanakurupuka tuu
 
CCM wanalazimisha kila mkutano mtu wa CDM ajitokeze kwao.... hawata amini kitachotokea
 
Yaani ukawa ni majinga na mamburura, ndio maana hayana hata vipaumbele. Lakini sishangai ndio maana hayaandai hata viongozi kutwa yanaazima wagombea, kila kitu ni kuazima hadi sera, yatajisaidia mwaka huu. Kama katibu hana madhara mnacomment nini simtulie?

Usipaniki ndugu yangu!!Narudia tena huyo Katibu aliyehamia CCM hana madhara kwetu.Hata JPM tunammudu sana.Naye anafahamu hilo.Tunaona CCM wanakwaruzana wao kwa wao,wanatumia kodi zetu kuwanunua Viongozi wasio na mweleko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom