rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Unaota usingiz wa mchana,mbowe jembe letu hapa hai
Jembe lazima litiwe mpini.
Unaota usingiz wa mchana,mbowe jembe letu hapa hai
Yani hata ukiweka jiwe na huyo malya wako bado jiwe litapigiwa kura
Sasa ni dhahiri jimbo la Hai linarudi CCM baada ya Katibu wa Chadema HAI kutorokea CCM.
Wananchi wa Hai wamechoshwa kumuona Mbowe akisafiri mpaka kuwa mtaalamu wa kuweka gia za angani.sasa wanamtaka Danstan Mallya kuwawakilisha bungeni.

Mbowe ametusaidia sana hapa Hai,hakuna mwingine
Duh....... nyiye magamba kwa kucopy na kupaste kweli hamjambo.......Toroka uje ccm!!! HAPA KAZI TU.
Sasa ni dhahiri jimbo la Hai linarudi CCM baada ya Katibu wa Chadema HAI kutorokea CCM.
Wananchi wa Hai wamechoshwa kumuona Mbowe akisafiri mpaka kuwa mtaalamu wa kuweka gia za angani.sasa wanamtaka Danstan Mallya kuwawakilisha bungeni.
Niliwahi kusema humu kwamba HAI na Arusha mjini ni lazima zirudi ccm...iwe kihalali au kwa goli la mkono!
Kaka utafuta kauli yako hii tu!! zimebaki siku 17 tu!!
Mbowe ni jembe la ukweli.Waache wanaohama wapige pesa zao ambazo ni kodi zetu.
Duh....... nyiye magamba kwa kucopy na kupaste kweli hamjambo.......
Kila linalobuniwa na wapinzani, nyinyi mwaiga.
Tuanze na M4C ya Chadema ambayo ni Movement 4 Change, nyinyi mkacopy na kuitafsiri M4C yenu kuwa Magufuli 4 Change!
Sasa na huo ubunifu wa Ukawa wa Toroka uje, nanyi mshajitengenezea Toroka uje yenu.
Kweli mwaka huu maji yamewafika shingoni na hamna mahali pa kutokea.
yy sio watu wa hai tofautisha katibu na watu wa hai, fahamu kuwa waliondoka akina lipumba na slaa lakini moto unawaka tuu, mtawanunua masikini wooto watabaki wa ukweli ambao hawapendi pesa haramu, hapo ndipo mwisho wa ssm utakuwa umetimua bado wiki mbili tu, tununiamesasa ni dhahiri jimbo la hai linarudi ccm baada ya katibu wa chadema hai kutorokea ccm.
Wananchi wa hai wamechoshwa kumuona mbowe akisafiri mpaka kuwa mtaalamu wa kuweka gia za angani.sasa wanamtaka danstan mallya kuwawakilisha bungeni.
mgombea alieazimwa ni yupi? Huyu mnae sema mmetua mzigo , sasa kama ni mzigo inakuwaje leo mseme ameazimwa? Unaweza kumuazima adui yako bunduki akuwindie ww?yaani ukawa ni majinga na mamburura, ndio maana hayana hata vipaumbele. Lakini sishangai ndio maana hayaandai hata viongozi kutwa yanaazima wagombea, kila kitu ni kuazima hadi sera, yatajisaidia mwaka huu. Kama katibu hana madhara mnacomment nini simtulie?