Katibu wa CHADEMA Hai ahamia CCM

Katibu wa CHADEMA Hai ahamia CCM

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Sasa ni dhahiri Jimbo la Hai linarudi CCM baada ya Katibu wa CHADEMA Hai kutorokea CCM.

Wananchi wa Hai wamechoshwa kumuona Mbowe akisafiri mpaka kuwa mtaalamu wa kuweka gia za angani, sasa wanamtaka Danstan Mallya kuwawakilisha bungeni.
 
Yani hata ukiweka jiwe na huyo malya wako bado jiwe litapigiwa kura
 
Mbowe ni jembe la ukweli.Waache wanaohama wapige pesa zao ambazo ni kodi zetu.
 
Unaumwa bila shaka huyo Jublathe Lema hana madhara amenda kuganga njaa kama huamini mpigie 0755465309
 
Unaumwa bila shaka huyo Jublathe Lema hana madhara amenda kuganga njaa kama huamini mpigie 0755465309

Ina maana Chadema kulikuwa na njaa kwa wanachama tu lakini sio Mbowe alijichotea cha kwake na kuchange gia angani.
 
Mmh bila ushabiki mbowe kumng'oa Hai ni ndoto za mchana
 
cdm mwendo mdundo....katibu hakijapungua kitu tunakaza mwendo kuelekea kunako mabadiliko!
 
Sasa ni dhahiri jimbo la Hai linarudi CCM baada ya Katibu wa Chadema HAI kutorokea CCM.

Wananchi wa Hai wamechoshwa kumuona Mbowe akisafiri mpaka kuwa mtaalamu wa kuweka gia za angani.sasa wanamtaka Danstan Mallya kuwawakilisha bungeni.

Hao ni ya Mbowe tu huyo Malaya (oops sorry! Mallya) hana kitu hapo usijidanganye!
 
Sasa ni dhahiri jimbo la Hai linarudi CCM baada ya Katibu wa Chadema HAI kutorokea CCM.

Wananchi wa Hai wamechoshwa kumuona Mbowe akisafiri mpaka kuwa mtaalamu wa kuweka gia za angani.sasa wanamtaka Danstan Mallya kuwawakilisha bungeni.

Toroka uje ccm!!! HAPA KAZI TU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom