Siungi mkono kupigwa kwa kada huyo! Nalaani kitendo cha maccm kupandikiza watu kwenye mabaraza ya katiba ili kupinga rasimu ya katiba mpya. Ccm ni chama maslahi binafsi na si ya umma!
Huyo katibu atapata wapi majibu ya maswali magumu kwake wakati amepewa agizo rahisi la kuwaandaa watu wapokee waalimu watakaokuja kuwafundisha kuikataa rasimu? Wangemwuuliza hao walimu wanakuja saa ngapi, watafundishia wapi si ajabu angewajibu. Huyo katibu na aliyemtuma wote hovyo kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.