Katibu wa CCM mkoa wa Iringa afariki dunia

Katibu wa CCM mkoa wa Iringa afariki dunia

Duuuu kwa hyo leo wale wa msimbazi buku saba wapo msibani hawachangii mada eeeh,duuu poleni watani zetu ila ndio mipango ya mungu
 
Ni kifo cha kawaida au naye ni kama yule wa Kisesa? Maana natabiri yale ya Kisesa yatajirudia sana kwa vile viongozi hawataki kujifunza kutokana na yanayojitokeza kwa wenzao. RIP KATIBU WAO
 
Mi nataka maccm yafe kuanzia juu kurudi chini.
 
Back
Top Bottom