Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
Mapema jana tarehe 15.03.2025 Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Hussein Athuman Egobano Amepokelewa Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura Kabla ya Kuingia Katika Kikao Kazi na Viongozi wa Vijana Wa Kata na Matawi ndani ya Kata ya Kisukuru.
Katika Kikao Kazi aliwahamasisha na Kuwaeleza Viongozi Wajibu na Majukumu Yao katika Kipindi hiki cha Kuandikisha Wapiga kura.
pia soma Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025