Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad aanza ziara rasmi

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,279
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma Mhe. SALIM BIMAN anawajulisha wananchi wote wa kisiwa cha Unguja kuwa Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad ataanza ziara ya Uimarishaji Chama katika wilaya zote saba (7) kisiwani Unguja, ziara inafuatiwa baada ya ziara iliyopata mafanikio Makubwa ya Kisiwani, Pemba.

Ziara hiyo itaambatana na ufunguaji wa ofisi mpya za Chama, kuweka waratibu wa Chama, kufungua matawi mapya, na kuwasikiliza wananchi na kutoa muelekeo na misimamo ya CUF kwa kipindi hichi.


SALIM BIMAN
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
 
View attachment 488150
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma Mhe. SALIM BIMAN anawajulisha wananchi wote wa kisiwa cha Unguja kuwa Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad ataanza ziara ya Uimarishaji Chama katika wilaya zote saba (7) kisiwani Unguja, ziara inafuatiwa baada ya ziara iliyopata mafanikio Makubwa ya Kisiwani, Pemba. Ziara hiyo itaambatana na ufunguaji wa ofisi mpya za Chama, kuweka waratibu wa Chama, kufungua matawi mapya, na kuwasikiliza wananchi na kutoa muelekeo na misimamo ya CUF kwa kipindi hichi.


SALIM BIMAN
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
Kama lipumba mwenye PHD anafanya mambo kitoto vile kwa nini tunamshangaa Bashite?Yaani wasomi na wapumbavu huwezi kutofautisha.Maalim piga kazi maana najua wewe ndio rais wa Zanzibar ambae hukuapishwa.
 
Hahaha Bado anandoto yakuwa Rais!!
Awe rais Mara ngapi??? Kila cku mnampora ushindi!!!
Au mnamwona lofaaa kwa kukubali yaishe asilete umwagaji damuu????
Tatizo la kufumuliwa marinda ndo maana na thinking capacity inapotea.
Overrrrr
 
Back
Top Bottom