Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif akamatwe

Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif akamatwe

Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
Mkuu na kuunga mkono kabisa na nina shangaa JPM amekuwa mpole sana na mambo yanayo fanywa na Maalim Seif na CUF yake!

CUF na Maalim ni wachochezi wanapaswa kudhibitiwa hata baada ya uchaguzi ni wazi wana lazimisha watu waone kuwa Zanzibar kuna machafuko na ndio maana wame amisha familia zao ili kuleta mshituko kwa watu kuwa kutakuwa na machafuko!

Ndio maana kila leo wanatoa matamko ili kuwatisha watu...
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
Wewe akili yako sawa na ya mbwa koko
 
asee wewe ndio ccm pure kabsaaa
i,e ulichokiandika kingekuwa wimbo,hakuna studio ingekubali kukurekodia
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, huo wimbo ungerekodiwa na redio uhuru
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
Agiza tu mbona polisi wanawasikiliza sana nyie watu wa lumumba. Toa tamko atakamatwa
 
Maalim Seif akikamatwa kama unavyotaka mleta Mada je unadhani ndiyo suluhisho la kurejea amani huko Zanzibar?
Kwanza huko Zanziba kuna uvunjifu wa amani? mbona viongozi wote wa serikali akiwemo Waziri wa Mambo ya ndani pamoja na kamishna wa poisi wanasema huko hali ni shwari...hizo vurugu anazoongelea mleta uzi anaziona wapi?
 
Kwa Mwenendo Wenu Huu Wa Kupayuka Hovyo Tu!! Kilichobakia Mnatakiwa Mtafutie Wachumba Tu Muolewe!!! Hebu Tuambie Huyo Nyumba Huko DAR Iko Mtaa Gani!!?? Mbona Wako Wengi Tu Wanaoishi Hotel!!!?? HOJA Ya Ugaidi Kamwe Hauwezi Kuithibitishia Mahakama, Sio Ww Tu Hata Mabwana Zenu Hawana Uthibitisho Na Ndio Maana Tokea 1995 Hoja Yenu Ni Hiyo Tu!! Lkn Kuithibitisha Hamuwezi!!! So Hilo La Ugaidi Sio Hoja Mpya Kabisa Msukule Mzee Ww!!
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.

Bora ukose mali lakini upate akili

Kwa nn ccm wanamlimpa na kumgharamia? Hapo nani mjinga? Mtu mmoja anazizid serikali mbili kwa akili hovyo kabisa ndo mana wazungu wanawasainisha mikataba feki mana hata mswahili mwenzenu kawazid akili
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
Hivi kwa nini ccm mnakuwa na chuki za ajabu na za kichonganishi? Hakika kwa kuwa Mbingu ipo na Jehanamu ipo siku moja kitaamuliwa
 
Kama Polisi Ni Wa Lumumba Na Kisiwandui, Toa Agizo Tu Kwao Ili Akamatwe Tu!! Unalialia Nini Humu, Na Post Za Kishoga!!!
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Selena ndo wapi?!?
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
Acha upumbavu jombaa
 
mkamate mamako kwanza
 
Back
Top Bottom