Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif akamatwe

Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif akamatwe

Katibu mtendaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
700
Reaction score
244
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
 
Evidence unayo kwamba ni maalim, bila evidence unaropoka tu
 
hivi una akili timamu wewe? U nani hadi ushauri wa viongozi kukamatwa na vyombo vya usalama? Mkamate wewe basi.
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.

UCHIZI NI NCHA SABA.........
 
Wewe ni mpumbavu Wa kutupwa
 
Maalim Seif akikamatwa kama unavyotaka mleta Mada je unadhani ndiyo suluhisho la kurejea amani huko Zanzibar?
 
waliokamatwa wenyewe mmewafanya nini kama siyo mbwembwe tu!? tangia miaka ya tisin tuna shuhudia viongozi wa kisiasa wakikamatwa lakini hakuna cha maana kinachofanyika juu yao. labda shauri kitu kingine maana hata mkimkamata mtamuachia tu tena bila masharti
 
Mm naunga mkono hoja ya huyu jamaa kwa asilimia 100. Lkn kwa nn Jecha humsemi? Mm nakushauri ulete hoja ya kukamatwa kwa Mazombi kwanza afu badae tujadili hoja yako. Naunga mkono mia kwa mia
 
Huko SELENA HOTEL ndio wapi? Angekuwa amejitangazia matokeo feki mngemkatalia na kuleta yale yenu ya halali, lakini mlipoona kawahi kutangaza kabla hamjachakachua mkafuta, tutawaamini kwa ushahidi upi?
 
Yaani mpaka sasa hujui JECHA ndie wa kukamatwa? una tatizo la mahaba na ccm wewe. Unakumbatia miba ukihitaji faraja? UVCCM wenyewe waropokaji hili hawajalisema sijui wewe uzembe huu wa kufikiri umeutoa wapi?
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
kweli wewe ni katibu mtendaji tenda tukuone
 
Kazi ya kulinda usalama wa nchi ni ya raia wote na sio ya police peke yao. Kama unaona Maalim Seif analeta shida huko Zanzibar kamripoti police au kamchukulie RB kabisa umkamate wewe mpenda nchi
 
Back
Top Bottom