Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif akamatwe

Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif akamatwe

ccm wameshafeli, wamesema matokeo aliyojitangazia maal seif si ya kwel, ayo ambayo n ya kwel yako wap?
 
Ningekubaliana na wewe kama unazungumzia ccmmmm kufutwa pamoja na tume ya uchaguzi Zanzibar
 
Vijana wa ccm wanapigania ukuu wa wilaya kwa nguvu zote
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.

ukisikia matumizi ya akili za maiti ndo aya. ficha upumbafu wako na si kuuweka adharani
 
Zanzibar panatia simanzi......"The establishment "hawataki kuona wengine wanatawala
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
Wakuu wa mikoa tayar wameshateuliwa labda usubili ubalozi wa nyumba kumi, naona unahangaika sn kujikomba kwa magamba
 
Waanze kwanza na wale waliotoa pingamiz fake la umeya wa dar....na sio unalopoka lopoka tu....mnazan nchi yenu ninyi tu...
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.

L46b7 wote wana njaa,lakini njaa ya mleta mada imehamia masabulini.Mleta mada unapaswa kukalia kitu chenye ncha Kali ili kikuondolee njaa yako.
 
Akamatwe kwa kosa lipi? Cuf wamejitoa bungeni sasa wanafuatia ukawa wengine bungeni. Kwa maana hiyo bunge la Mwaka huu huenda likawa la chama kimoja.
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
Jitahidi, ila usisahau kuwafunga kamba za viatu na kuwabeba watoto bosi, utakuwa na SIFA za kupata angalau uratibu tarafa
 
watu wengine sijui wana radhi kutoka kwa wazazi wao au wakwe zao . Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuandika utumbo kama huu
 
Maalim Seif akikamatwa kama unavyotaka mleta Mada je unadhani ndiyo suluhisho la kurejea amani huko Zanzibar?
Mleta mada uwezo wake wa kutafakari ni sentimeta 2,na zaidi anamkurupuko wa mawazo kama walivyo watawala wake bara!
Anadhani nguvu ya kupinga uchaguzi niyamtu mmoja?au vijana tu?! Au wazee tu?!fikra finyu huwaza mafinyu pia
 
Maalim Seif Sharif Hamad anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa yafuatayo :-

Kujitangazia matokeo, Uchochezi wa kisiasa na matumizi mabaya ya madaraka. Haingia akilini mpaka sasa anaishi Selena hotel kwa pesa za serikali. Nyumba ya serikali aliyopewa kaikataa,

Anaendelea kuwahamasisha wazanzibar wasishiriki uchaguzi wa 20/3/2016 huku familia yake akiwa ameihamisha kuitoa zanzibar hapohapo akihamasisha vijana wake kuchoma nyumba za Wanaccm, hii haikubaliki.

Naiomba serikali kupitia msajiri wa vyama vya siasa kukifuta chama cha CUF maana hiki chama kimekuwa kinashirikiana na magaidi kufanya machafuko Zanzibar.
Una akili kama za JECHA
 
Kama vipi mkamateni harafu mtasilizia moto wake. Nina uhakika ile bahari ya nzanzibar itageuka kuwa nyekundu.
 
Mkuu vipi akamatwe kwa kosa gani?, taratibu mkuu mi nimesikia watendaji kama wewe ndio wanapaswa kukamatwa kwa masaa 48 , kwa amri ya mkuu wa mkoa pasi na shaka sababu hamjui majukumu yenu ya kiutendaji kazi yenu ni kupokea virushwa vidogo vidogo.
 
Watu kama wewe ndo mnaifanya CCM ionekane "haijielewi"
 
Na jecha je aachwe manake huyu katuvuruga kupokea oda za vitisho, najua yeye kama yeye asingeweza fanya hivyo
 
Back
Top Bottom