Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Bayegela Mashinji ndani ya Bariadi kesho

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,344
1,531
Wanajamii amani iwe kwenu!

Kufuatia kifo cha Shangazi ya Mh Gimbi Dotto Masaba (Mb) na Makamu Mwenyekiti waKanda ya kichama Ya Serengeti inayojumuisha mikoa ya Shinyanga,Simiyu na Mara.

Katibu mkuu huyo atafika mkoani Simiyu akitokea Jijijini Dar-es salaam ili kuungana na ndugu, jamaa na marafiki katika Msiba huo mkubwa.

Taarifa zinasema mazishi yatafanyika Wilaya ya Itilima katika kata ya Nkoma kijiji cha Dasina!Wale wa Simiyu na viunga vyake bila kujali itikadi zetu tuungane na Katibu Mkuu wetu kipenzi kumsindikiza Mama yetu kwenye makao yake ya milele


Yeye alitoa na Yeye ametwaa jina lake libarikiwe daima.

Msemakweli Mpenzi wa Mungu

Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake

Sasa Arusha kumchagua Lissu.

 
SAWA tumepokea taarifa poleni sana wafiwa, ila Mwambieni Bashite awahishe vyeti tupo tunamalizia kuhakiki
 
Back
Top Bottom