Katibu mkuu wa CCM, Dr. Bashiru: CCM kuna majizi nikiyataja hapa mtashangaa. Sasa wezi wako CCM na ndio wenye Serikali

wala hatutashangaa ukiwataja maana sote tunajua CCM kuna majizi, that's not news!!!
 
Chaguzi za africa huwezi shida kihalali ukiwa chama tawala, watu watakuchaguaje hawana chakula hawana maji, Bashir nadhani hajui chama kinashindwa vipi
 
Bashiru does not know the difference between theory and practice!! NADHARIA NI ABSTRACT LAKINI UTENDAJI NI DOWN TO EARTH REAL!! GIVE HIM TIME HE WILL COME TO TERMS WITH REALITY IF GIVEN A CHANCE. CCM INA WENYEWE!!!
 
Bashiru ni mnafiki tuuu,si yeye ndo mtendaji mkuu wa chama dola?,ameshafanya juhudi gani kuhakikisha hayo ayaitayo majizi yanafikishwa kwenye vyombo vya sheria?.

Bashiru tangu alivyo kubali kuacha ualimu na kuja kuungana na jiwe,ndipo alipoacha kutumia ubongo wake.

Anayo sema sasa ni kujaribu kupata mass acceptance ambayo esha ipoteza.
 
Kama viongozi wa CCM wanalinda wezi ndani ya chama, walahii mbele ya Rais Magufuli wataipata! wanaolinda na wanaolindwa wataisoma namba! Mfano mzuri upo, ukiona mbunge au Diwani anatoka chama chochote na kujiunga na chama tawala kabla ya kipindi chao hakijaisha kwa mujibu wa katiba, ni wazi wapo kwa sababu ya matumbo yao na siyo kwa sababu ya wapigakura na wote wale walio chini ya miaka 18!!!!chama tawala hakina shida ya kupata akidi, kwa hiyo Rais anawawasoma na atajua ni nani mwenye uchungu na nchi(Taifa)!Mimi kama raia wa kawaida naona wazi kuwa hawana uchungu na watoto wanasomea chini ya mwembe, au zahanati haina dawa, ni staili mpya ya kupiga madili!! NA CHAMA KINAWALINDA!!!
Huyu raisi naye mwizi
 
Safi sana , mimi huwa sina wasiwasi na mtu aliyepitia madrasa japo kidogo, katika nyakati fulani fulani za maisha yao hata kama baadae watageuka madhalimu lakini huwa wana chembe chembe fulani za ukweli, utu, haya na ikibidi ujasiri wa kuita nyeusi nyeusi
Kama Chenge vile?
 
Kama kweli majority hakuna haja ya kuyataja ayapeleke tu mbele ya sheria yafunguliwe mashtaka.
 
Jiwe atajuta kwa huyo ushomire! Kaanza na ccm kukosa uhalali sasa haya pia, ATATEKWA!
Ngoja tusubiri mchezo huu utafikia wapi!
Walichopanga kukiendesha 'under control' kinaweza kikapitiliza na kuwashinda kukidhibiti.
 
Kusema tu mbona ata Sisi wananchi huwa Tunasema yeye ataje tu tusikie!
Hii ni Jamhuri tu nataka Uwazi
 
Wenyewe kwa wenyewe wanaitana majizi, halafu wanataka watanzania wawaamini!!

Huu uzi nilikuwa nautafuta sana. Leo BAK chepeo lako limefanya kazi ya kufukua kaburi muhimu sana!!
 
Back
Top Bottom