Katibu Mkuu TFF na Msemaji wa Yanga warushiana maneno mazito na ya kashfa Clouds fm

Chukua like 5
 
Wewe ni mhaya?
 
ww hilo neno "members " ni la kiswahili?
 
Lipo jambo la kuangalia hapa. Je kuna mahusiano yasiyo ya kawaida kati ya Jeli na Maanj? Huku kujiamini kwa namna hiyo kunaleta hisia nyingine kwa watu wanaelewa mahusiano.
 
A afadhari Leo umeonyesha upande uliopo,huko kwenu shida kibao umekomaa na shida za jirani,acha umbea watoto watalala njaa
 
Simba damu lkn Muro namuunga mkono kwa aliyoyasema km ni kusoma kwel kasoma Kwel km VP Katibu mkuu WA tff naye aweke elim yake mezan tff wamezid Sana. ILA MKUU MLETA UZI WE NAE MNAZI umeanza vzr but unamaliza kinazi
 
Anacho nifurahisha na kunistaajabisha Muro ni pale kila akosolewapo anakimbilia kusema 'mimi nina Masters!' hivyo nina akili.Aiseh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…