GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,110
Masters moja inatolewa na nchi 3?
Masters moja inatolewa na nchi 3?
mwanzo nilianza kukuelewa. ila ulivyo maliza ni kama una uadui na MURO.
Ulianza vyema ila ume maliza na bias kubwa sana
kwaiyo umeona wakiwa wanafuta mc huko studio?Majibu kama yako haya niliyategemea na ningeshangaa kama " msingepovuka ". Ila siku zote principle yangu itabaki kuwa ni ile ile tu ya kusema ukweli bila uwoga hata kama huo ukweli au uwazi wangu utanigharimu. Kubali kataa Jerry Muro ni TATIZO LA UELEDI na WANATAALUMA hivyo basi tuache UNAFIKI na pengine Mimi kumsema kwangu mara kwa mara nikawa namsaidia ajitafakari upya kuliko nyie mnaojifanya KUMPENDA kumbe MNAMPONZA.
Punguza bias kumbe umekuwa uki deal naye mara kwa mara ee!!?Majibu kama yako haya niliyategemea na ningeshangaa kama " msingepovuka ". Ila siku zote principle yangu itabaki kuwa ni ile ile tu ya kusema ukweli bila uwoga hata kama huo ukweli au uwazi wangu utanigharimu. Kubali kataa Jerry Muro ni TATIZO LA UELEDI na WANATAALUMA hivyo basi tuache UNAFIKI na pengine Mimi kumsema kwangu mara kwa mara nikawa namsaidia ajitafakari upya kuliko nyie mnaojifanya KUMPENDA kumbe MNAMPONZA.
Aliniacha hoi aliposema eti"hatuna shida ya kucheza mechi, ila CAF wametulazimisha!" Hatujaenda kwenye kikao cha CAF kwasababu hatukubaliani na utaratibu wa mambo unavyoendeshwa!" Kwahiyo timu zote zilizohudhuria zinaendeshwa na ****** sio?!Kichwa chwa kina walakin, na wasipoangalia kitawaingiza matatizoni!!
Nimemdharau Jerry Muro pale aliposema TFF wameuza kinyemela haki za tv, wakati haki za matangazo ziko chini ya CAF
kwaiyo umeona wakiwa wanafuta mc huko studio?