Katibu Mkuu Mpya Nishati na Madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu Mkuu Mpya Nishati na Madini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mipangomingi, Jul 22, 2011.

 1. Mipangomingi

  Mipangomingi JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,719
  Likes Received: 980
  Trophy Points: 280
  Ukifatilia sakata la Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, ni wazi kuwa hatua zoote hizi zilizochukuliwa ni za kumpunguza presha ili asife kihoro lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa atakaa nje ya post hiyo (japo kwa staili ile ya kumaliza muda wake wa utumishi wa umma). Jambo la msingi hapa ni kuanza kufikiria ni nani atamrithi bw Jairo na atakayeweza kufanya la maana katika hiyo wizara kimeo?

  This is the proposed list
  1. Christopher Sayi
  2. John Haule
  3. Eng. Omar Chambo
  4......
  5..........
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hata Christopher Sayi ni engineer (tena wa kutoka Ikungulyabashashi). Kwa nini hujaweka Eng. kutangulia jina lake?
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ni zamu ya Mwanamke sasa

  Dr Batilda Buriani
   
 4. Mipangomingi

  Mipangomingi JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,719
  Likes Received: 980
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu huyu ni Engineer, lakini huwa hajinasibu saaana na ID hiyo kama huyo bw. Chambo-any way, nakubaliana na hoja so

  Engineer Sayi
   
 5. n

  ngokowalwa Senior Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Rev. Hapo umenena , ila kwa kuwa chama huwa kinakaa kama kamati na kutengeneza hizo rules yawezekana kwa hili Dr. naye akaambulia
   
Loading...