Katibu Mkuu Kinana amekatwa upepo au kapatwa na nini?

swahiba Senior

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
2,479
3,613
Nahitaji tu kujua Katibu Mkuu wa CCM Abdllahiman Kinana yuko wapi?

Wanajamvi habari za majukumu,

Nimefika pale ofisini kwake zaidi ya Mara 3 toka mwezi March ili nipate maoni yake kuhusu mwelekeo wa nchi yetu, democrasia na mambo mengine lakini majibu niliyopewa Mara zote hayaridhishi kabisa.

Najiuliza sana huyu comred yuko wapi? Mbona toka hii awamu ianze licha ya kupewa kuendelea kama Katibu Mkuu yuko kimya sana hatoi tamko lolote hata mambo yanapoonekana kwenda mrama jambo ambalo ni geni kabisa kwangu.

Alikuwa mkosoaji sana wa viongozi na kuwakaripia sana katika awamu iliyopita, sasa kipi kimemsibu? Ndo kusema kaishiwa pumzi? Zaidi namuona tu huyu Polepole akitoa matamko.

Hebu mwenye majibu sahihi anipatie Kinana kapatwa na nini?

NAOMBA KUWASILISHA.
 
Nahitaji tu kujua KATIBU MKUU wa CCM Abdllahiman KINANA yuko wapi???

Wanajamvi hbr za majukumu Nimefika pale ofisini kwake zaidi ya Mara 3 toka mwezi march Ili nipate maoni yake kuhusu Mwelekeo wa nchi yetu,democrasia na mambo mengine Lakini majibu niliyopewa Mara zote hayaridhishi kabisa

Najiuliza sana huyu comred yuko wapi?? Mbona toka hii Awamu ianze licha ya kupewa kuendelea kama Katibu mkuu Yuko kimya sana Hatoi tamko lolote hata mambo yanapoonekana kwenda mrama Jambo ambalo ni geni kabisa kwangu Alikuwa mkosoaji sana wa viongozi na kuwakaripia sana ktk Awamu iliyopita, sasa kipi kimemsibu?? Ndo kusema kaishiwa pumzi?? Zaidi namuona tu huyu Babu-kijana SlowSlow akitoa matamko uchwara..Hebu mwenye majibu sahihi anipatie Kinana kapatwa na Nini???

NAOMBA KUWASILISHA.
Hii Speed Kali sana naona Lori limemwacha sehemu.
 
Kinana atakuwa amezibwa mdomo na mwenyekiti
 
Sijui kwa nini nimependa avatar yako!
Back to topic, kuna uwezekano dereva wa lori kabeba na majukumu ya tingo na mkusanya hela
Haaa,haaa usirudie kutoka nje ya mada,, sasa kama Dereva anashuka na kuweka maji kwenye rejeta na kukaza nati na kufunga belt mizigo,na kuweka kigingi unadhani Konda kazi yake ni nini sasa kwa nini Asikubali kumwachia tu Dereva Lori awe anaenda mwenyewe??
 
Back
Top Bottom