Katibu Mkuu DK. Willibrod Slaa ziarani Barani Ulaya

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,873
TARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

KATIBU MKUU DK. WILLIBROD SLAA ZIARANI BARANI ULAYA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa ameondoka nchini Jumamosi Juni 06, 2015 kuelekea Bara la Ulaya ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku nane.

Akiwa ziarani Dk Slaa anatarajiwa kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbali mbali wa nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU) ambapo pia atakutana na jopo la wataalamu wa masula ya uchumi kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika kupata mifumo sahihi na kujenga taasisi za kusaidia uwajibikaji na- kusukuma maendeleo ya watu katika nchi za Afrika hususan zile zenye rasilimali nyingi kama Tanzania ili kuziepusha na kile ambacho kimezikumba nchi nyingi duniani yaani 'laana ya raslimali' (resource curse).

Aidha, akiwa na viongozi wa nchi za Ulaya, Dk Slaa atajadiliana nao kuhusu hali ya Demokrasia, utawala bora na hali ya haki za binadamu nchini hasa kwa kipindi hiki ambapo Watanzania wanaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.

Katika ziara hiyo, viongozi hao wa Ulaya watapata fursa ya kujadiliana na Dk. Slaa hali ya siasa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki.

Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Dk. Slaa ameambatana na Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri, John Mrema na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Tumaini Makene.

Itakumbukwa kuwa Katibu Mkuu Dk. Slaa amekwenda ziarani barani Ulaya akiwa ametoka kufanya ziara ya kikazi katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Kagera, Mbeya, Rukwa na Katavi akikagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kwa mfumo wa BVR huku pia akiwahamasisha Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura kuhakikisha wamejiandikisha. Alitumia pia ziara hiyo kukagua maandalizi ya chama katika maeneo mbalimbali kwa kushirikiana na vyama washirika wenza katika UKAWA kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Dk. Slaa atarejea nchini tarehe 15.06.2015.
-------------------
Imetolewa na:
Deogratias Munishi
Mkuu wa Idara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa CHADEMA

​
 
Kila la Kheri 'Rais wa Umma' na tunakuomba chonde chonde...uweke mkazo ktk kipengele kilichoko chini na kuna kila dalili ya Utawala huu wa CCM na Tume yao ya Uchaguzi kuwepo ktk Orodha mpya ya watakaopewa 'arrest warrant' na ICC baada ya Oktoba 2015, endapo watakwamisha 'kukabidhi' madaraka kwa Amani...wakidhani wanalindwa na Wachina [wezi wa pembe] na wanaowafadhiliwa kwa BVR zao feki!

" Aidha, akiwa na viongozi wa nchi za Ulaya, Dk Slaa atajadiliana nao kuhusu hali ya Demokrasia, utawala bora na hali ya haki za binadamu nchini hasa kwa kipindi hiki ambapo Watanzania wanaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba."
 
Tunakutakia safari yenye mafanikio.

Sisi tunaendelea kujiandikisha tukisubiri Octoba 25, 2015 tu.
 
Rais wa mioyo ya watanzania tunakutakia kila la heri katika safari yako kazi zako zifanikiwe kwa100% pia tunakutakia maandalizi mema ya kuingia Magogoni October .....
 
TARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

KATIBU MKUU DK. WILLIBROD SLAA ZIARANI BARANI ULAYA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa ameondoka nchini Jumamosi Juni 06, 2015 kuelekea Bara la Ulaya ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku nane.

Akiwa ziarani Dk Slaa anatarajiwa kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbali mbali wa nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU) ambapo pia atakutana na jopo la wataalamu wa masula ya uchumi kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika kupata mifumo sahihi na kujenga taasisi za kusaidia uwajibikaji na- kusukuma maendeleo ya watu katika nchi za Afrika hususan zile zenye rasilimali nyingi kama Tanzania ili kuziepusha na kile ambacho kimezikumba nchi nyingi duniani yaani 'laana ya raslimali' (resource curse).

Aidha, akiwa na viongozi wa nchi za Ulaya, Dk Slaa atajadiliana nao kuhusu hali ya Demokrasia, utawala bora na hali ya haki za binadamu nchini hasa kwa kipindi hiki ambapo Watanzania wanaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.

Katika ziara hiyo, viongozi hao wa Ulaya watapata fursa ya kujadiliana na Dk. Slaa hali ya siasa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki.

Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Dk. Slaa ameambatana na Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri, John Mrema na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Tumaini Makene.

Itakumbukwa kuwa Katibu Mkuu Dk. Slaa amekwenda ziarani barani Ulaya akiwa ametoka kufanya ziara ya kikazi katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Kagera, Mbeya, Rukwa na Katavi akikagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kwa mfumo wa BVR huku pia akiwahamasisha Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura kuhakikisha wamejiandikisha. Alitumia pia ziara hiyo kukagua maandalizi ya chama katika maeneo mbalimbali kwa kushirikiana na vyama washirika wenza katika UKAWA kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Dk. Slaa atarejea nchini tarehe 15.06.2015.
-------------------
Imetolewa na:
Deogratias Munishi
Mkuu wa Idara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa CHADEMA

​

huyu naye akiwa mkuu wa kaya atakuwa mzee wa safari ughaibuni.

hii ya ngapi tangu awe katibu mkuu?
 
hatufai kuwa Raisi kwani naye anakuwa Yohana Mtembezi akiwa President si ndio itakuwa kuliko serikali hii.
 
Tunataka pia afufue Non-aligned Movement atakapo kuwa rais. Hivyo kabla ya uchaguzi afanye ziara Mashariki ya mbali, mashariki ya kati na Urusi. Hatutaki kuingizwa kwenye vita baridi vinavyofufuliwa kwa nguvu na Ulaya na Marekani.

Tutakuwa salama zaidi kama hatutajiingiza kwenye kuchagua upande katika vita hii baridi inayonyemelea dunia. Atuhakikishie kuwa tutafanya kazi na yeyote kutoka kwenye pande hizo mbili (simply East and West).
 
Rais akisafiri mnaanza minongono acheni unafikiii au mnaenda kuchukua pesa za mishogaaa nahamia burundi kuliko nishuudie ushogaa
 
Huyu naye kaanza dalili za kuzurura mapema sana huyu..sijui kala maharage ya wapi huyuuu
 
Back
Top Bottom