Koba ni sawa na kumkuta CEO wa VODACOM AU CELTEL ameamua afanye kazi ya kuuza VOCHA peke yake. As simple as that! Kituko cha mwaka.[U[/U]
Nilidhani,"naively", kuwa nikirudia kwenye suala la msingi la mazingira wenzangu wataona hilo. Kama kawaida yetu tunashinda kujadili mambo mbadala badala ya hoja ya msingi. Kuwepo kwa KM katika banda nionavyo mimi si tatizo. Tatizo ni yeye kunadi sera ambazo zitaangamiza mazingira ya mbuga hizo akiwa ndiye mtendaji mkuu wa wizara inayopaswa kuyalinda kwa faida ya vizazi vijao! Wenzangu hamlioni hilo!!!
...mkuu nimeliona hilo sana ila issue niliyokuwa nataka kujibu kwanza kitu anachofanya huyo mama kwenye hilo banda sio irresponsible ya kazi yake,mazingira nayaheshimu sana siku zote na ni kitu ambacho kama tungejua tungekitilia mkazo mkubwa sana maana ndio future,weka topic tujadili kwa urefu