Katibu itikadi na uenezi wa CHADEMA

enockino

JF-Expert Member
Oct 14, 2014
273
171
Wana jamvi poleni na uchovu wa pilikapilika za sikukuu ya Christmas,

Naombeni kujua katibu wa itikadi na uenezi wa CHADEMA ni nani? Mbona yupo kimya sana? Namuona huyu wa upande wa pili Mr Slow slow yuko moto sana kukieneza chama chao, huyu slow slow nimemuona sana kwenye local TV nyingi tu mfano channel ten (je tutafika?), TBC ( This week perspective) clouds TV (clouds 360) nk Vipi huyu wa Kwetu.
 
Ni Lema, bado yupo kozi maalum Kisongo ,akirudi ataanza kazi na utamuona kwa media usijali.
 
Back
Top Bottom