naomba kuuliza wadau hivi,katiba hii ni ya chama cha mapinduzi? au ni ya watanzania! na kwa nini hawa ndugu zetu wanaendelea na mijadala ya katiba? kulikoni ccm vs katiba? naomba michango yenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.