Kufunga wakati huu wa ramadhani ni sehemu ya ibada kwa muumini wa dini ya kislam. Nijuavyo au ninavyoamini ibada ni juu mtu na mungu wake. Lazima itoke rohoni kwake maana mbele ya mungu hakuna unafiki. Unaweza ku-pretend kufanya jambo mbele ya binadamu mwenzako lakini sio mbele ya mungu.
Tukirudi kwenye ibada ya kufunga, muumini anatakiwa aoneshe kushinda vishawishi kwa kutokula siku nzima. Lazima itoke rohoni na sio kwa kulazimisha. Sasa hii ya kulazimisha watu inatoka wapi? Kama mtu hakufunga kula (ibada) kinakuhusu nini maana ni juu yake na mungu wake?
Ni Mungu WA PEKEE. kwa kuwa hana mwana, hakuzaa wala hakuzaliwa na hana anachofanana nacho na ni muumba pekee wa kila kitu. ndiye aliyenyanyua mbingu bila nguzo. Ndiye Mungu wa YAKOBO, ISIHAKA, IBRAHIMU, MUSSA NA ISSA MWANA WA MARIAMU (YESU)Huo ndio Uislamu dini ya amani iliyotoka kwa Mungu, kila kitu ni JIHAD tu hakuna willingness ya mioyo ya watu.Ni mwendo wa amri amri kama vile uko Jeshini. Sijui ni Mungu gani anayeaangalia matendo ya kulazimisha au kulazimishwa na si utayari wa muhusika kutoka moyoni. Mimi kwa haya yanayofanywa na waislamu pamoja na viongozi wao naamini kutoka moyoni kwamba huyu Mungu wanayemtumikia ni Mungu wa pekee sana tofauti na Mungu wa Imani zingine.
Ni Mungu WA PEKEE. kwa kuwa hana mwana, hakuzaa wala hakuzaliwa na hana anachofanana nacho na ni muumba pekee wa kila kitu. ndiye aliyenyanyua mbingu bila nguzo. Ndiye Mungu wa YAKOBO, ISIHAKA, IBRAHIMU, MUSSA NA ISSA MWANA WA MARIAMU (YESU)
Katiba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya mwaka 1984 (Toleo la 2010) katika Kifungu cha 19 (1) inasema:
Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, wa imani na wa uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa kubadilisha dini au imani yake.
Kifungu kidogo cha (2) kinasema: Bila kuathiri sheria zinazohusika na kazi ya kutangaza dini na kueneza dini itakuwa huru na jambo la hiyari ya mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.
Kama hivyo ndivyo:
1. Kwa nini Waumini wa dini nyingine (wasio waislamu) huko Zanzibar kwanini wanalazimishwa kuwa na mfungo wa Ramadhan kinyume na imani zao?
2. Kwanini kiongozi wa serikali (SMZ) ahimize kwamba wale wote wataokwenda kinyume na matakwa ya mfungo atachukuliwa hatua za "KISHERIA?"
Katiba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya mwaka 1984 (Toleo la 2010) katika Kifungu cha 19 (1) inasema:
Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, wa imani na wa uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa kubadilisha dini au imani yake.
Kifungu kidogo cha (2) kinasema: Bila kuathiri sheria zinazohusika na kazi ya kutangaza dini na kueneza dini itakuwa huru na jambo la hiyari ya mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.
Kama hivyo ndivyo:
1. Kwa nini Waumini wa dini nyingine (wasio waislamu) huko Zanzibar kwanini wanalazimishwa kuwa na mfungo wa Ramadhan kinyume na imani zao?
2. Kwanini kiongozi wa serikali (SMZ) ahimize kwamba wale wote wataokwenda kinyume na matakwa ya mfungo atachukuliwa hatua za "KISHERIA?"
ubaguzi Rwanda na burundi ulipoteza wengi sana...Wewe acha kuongea pumba mafisadi wakubwa dunia hii ni Watanganyika, waganga na washirikina wenye imani potofu wako Tanganyika, hujapatapo kusikia Wazanzibari kuuwa vizee kwa kisingizio cha uchawi, kuuwa walemavu wa ngozi kwa sababu za kishirikina. Zanzibar ina ustaarabu wake na Tanganyika ina ustaarabu wake.Watanganyika ni watu mmekosa imani kwenye nyoyo zenu mnauwana kwa shilingi mia tu, kila siku tunayaona kwenye vyombo vya habari.Infact, we have nothing in common. Katiba ya Zanzibar kukiukwa isimuumize kichwa Mtanganyika kwa sababu haimuhusu. Zanzibar for Zanzibaris
Ivi nyinyi watanganyika hamna cha kujadili leo.katiba ya znz si ya muunga,utamaduni na dini si muungano.
Katiba yenu imesema nchi yenu haina dini sawa. LAKINI katiba ya znz imenyamaza.
Pigeni mazogo bungeni ukija znz ukila hadharani, ukitembea uchi utakwenda jela hii inchi nyengine sio ya kikafiri km yenu. Wa2 wana dini yao na utamaduni wao. Shuhulikeni na yenuuu
Wewe nenda kavunje uone ! Maana hata ukijibiwa hamna faida ,bora ufanye kweli !Mwenye majibu naomba anisaidie...
Endapo mtu akiivunja hii amri atashtakiwa kwa sheria ipi na atapewa adhabu gani?
Kifungo?
Kuwekwa rumande?
Faini?
Viboko?
...
Hapa hakuna kufunga, ukweli ni kwamba kilichotokea ni mabadiliko ya ratiba ya kula. Badala ya kula mchana mnakula usiku.
Point. mungu dikteta ni wa kuogopwa sana.
Kwavile YESU alisema Yeye ni MWANA wa Mungu. Watu waliotaka kumpinga wakaandika kwenye QURAN hivyo ulivyosema...Quran bila Biblia hakuna kitu kingeandikwa mawazo yote ni Kupinga kilichoandikwa kwenye Biblia...
BIBLIA-Yesu alisema Mimi ni Mwana wa Mungu. Yesu alipobatizwa MUNGU alisema HUYU NDO MWANANGU MPENDWA NIMEPENDEZWA NAYE
QURAN - Ikampinga kwa Kusema MUNGU hana Mwana........
MUNGU WA WAISLAM SI MUNGU WA WAKRISTO-Proved
NAONA POVU LINAKUTOKA KWELI KWELI. Yesu kujíita mwana wa MUNGU...Wapi katika hiyo bibilia yako yesu alisema yeye ni Mungu ? Did Jesus Ever Say "I Am the Son Of God" Je Mungu wa..... Exodus 33:20~And He said, Thou canst not see My face, for there shall no man see Me and live.
Matthew 6:6: ~"But when you pray, go into your room, close the door and pray to your Father, who is unseen. Then your Father, who sees what is done in secret, will reward you." 1 Timothy 1:17: "Now to the King eternal, immortal, invisible, the only God, be honor and glory for ever and ever. Amen." 1 John 4:12: "No one has ever seen God; but if we .....
Aisee mirungi imeshuka bei gafla.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
NAONA POVU LINAKUTOKA KWELI KWELI. Yesu kujíita mwana wa MUNGU...
Wala sishangai maana msingi wa Quran ni kupinga kilichoandkwa kwenye Biblia. KWAHIYO UNATIMIZA WAJIBU WA KURAN
UKIUDHIKA SANA SOMA QURAN 9:5. Halafu njoo uniue..