Natumai hamjambo wapendwa,
Upendo wa ndoa/mahusiano strong huhitaji katiba itakayoufanya uwe active na wenye msisimko kwa wahusika, katiba hiyo itakua na mapendekezo mlokubaliana kufanyiana ajili ya kuimarisha na kudumisha upendo baina yenu.
Mfano katika katiba yenu mtaandika namna ya kushow love kwa kutakiana asubuhi & jioni njema, mialiko ya chakula & kukoga, ujumbe mzuri wa upendo daily, barua ya upendo mara 1 kwa wiki/mwezi, zawadi mara 1 kwa wiki/mwezi, namna nzuri ya kutatua changamoto, kuombana msamaha kwa kupiga goti, outing mara 1 kwa wiki/mwezi na mengine yote yalomuhimu kufanyiana baina yenu.
Mambo haya nilijifunza kwa mzee wa miaka 70 nikiwa safarini, mzee huyu muda wote aliwasiliana mkewe kwa furaha ndipo akanambia wana miaka 40+ ndoan bt upendo umetawala coz waliunda katiba ya upendo ambayo ilifanya upendo wa vitendo udumu kati yao daily, nami tangu nimetumia njia hii imenifaa na hakuna migogoro ndoani hivo nikaona vema ku-share nanyi ili mkiipenda muitumie kuimarisha ndoa zenu/mahusiano.