Katiba ya Tanzania ni ya 1977 sawa na ya CCM, kabla ya 1977 ( 1964-1977) ilitumika Katiba gani?

Ni hilo tu Ili kupata uwanja mpana wa kukabiliana na wapotoshaji wa kisiasa

Sabato Kamilifu 😂
Karibu

Katiba ya Uhuru

First_Tanganyika_Cabinet_1961.jpg

Katiba ya Tanganyika ya mwaka 1961 ilitokana na azimio la sheria ya uhuru (Order in Council) lililopitishwa katika Bunge la Uingereza na kuletwa Tanganyika kama Katiba ya awali. Katiba hii ilitengenezwa na waingereza nchini Uingereza na kuletwa kwetu. Hata hivyo Katiba hii ilikuwa na mapungufu kadhaa kubwa ikiwa mambo mengi ya kutegemea kufanyiwa maamuzi toka Uingereza chini ya Malkia ambaye ndiye alikuwa mkuu wa nchi yetu.

Katiba ya Jamhuri​

katiba-muungano.jpg

Utengenezaji wa katiba hii haukuhusisha wananchi wa kawaida. Ushiriki ulibaki mikononi mwa wabunge 71 wa TANU ambao walijigeuza na kuwa bunge maalum la Katiba lililopitisha Katiba hii. Katiba ya 1962 ndiyo ilianzisha mfumo wa Urais wa kifalme ambaye pia alikuwa Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na kiongozi wa serikali. Baraza la Mawaziri na waziri mmojammoja sasa waliwajibika kwa Rais badala ya bunge.

Katiba ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar​

katiba-ya-zanzibar.jpg

Hii ndiyo Katiba ya kwanza ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar. Katiba hii ilitokana na hati za makubaliano ya muungano ambazo zilifikiwa kuelekea siku ya muungano ulifanyika tarehe 26 Aprili 1964. Katiba hii ilianzisha mambo 11 ya Muungano ambayo kwa sasa yamefikia 22. Katiba ya Tanganyika pamoja na Tanganyika yenyewe vilikufa kifo cha kawaida wakati wa kuanzisha muundo wa serikali mbili. Rais wa Zanzibar alikuwa pia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano na mjumbe wa Baraza la mawaziri. Katiba hii ilianzishwa kwa tamko la Rais na kuridhiwa na bunge la Tanganyika na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar. Hii ilitazamiwa kuwa Katiba ya muda ya Muungano ambayo ingetumika kwa mwaka mmoja tu na iliweka utaratibu wa kuandaa Katiba ya kudumu ya Muungano kwa kuunda Tume ya Katiba na bunge la Katiba ili kuhakikisha ushiriki wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano unakuwepo. Tume hii ndiyo ya kwanza ya Katiba ya Tanzania na ilikuwa chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rashid Mfaume Kawawa.

Katiba ya Muda ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania​

muunganopiic.jpg

Katiba hii ilijulikana kama Katiba ya mpito na ndiyo iliyorasimisha nchi kuwa ya chama kimoja cha siasa. Hata hivyo kulikuwa na vyama viwili. Tanganyika iliongozwa na Tanganyika African National Union (TANU) wakati Zanzibar ikiwa chini ya Afro Shirazi Party (ASP). Katiba ya chama cha TANU ilikuwa sehemu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jambo hili nalo limezua mjadala miongoni mwa wananchi. Katiba hii ilitokana na mchakato wa Tume ya Rais ya Katiba iliyokusanya maoni ya baadhi ya wananchi. Ghafla, mambo ya Muungano yalianza kuongezeka na utata wa uhuru (autonomy) wa Zanzibar nao ukazidi jambo ambalo limeendelea kutatiza muungano hadi sasa.

Katiba ya Kudumu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania​

katiba-ya-jamhuri.jpg

Hii ilikuwa ni Katiba ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katiba hii ilipatikana kupitia Tume ya Rais iliyokuwa na wajumbe 20 (10 toka kila upande wa Muungano) ikiongozwa na Sheikh Thabit Kombo na Katibu wake akiwa Ndugu Pius Msekwa. Tume hii ilianza na kazi ya kutunga Katiba ya CCM ambayo ilizaliwa baada ya kuunganisha vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) tarehe 5 Februari977. Katiba yenyewe ilijikita katika misingi mikuu mitatu ambayo ni Urais wa kifalme, mfumo wa chama kimoja cha siasa na muundo wa serikali mbili. Katiba hii ilipitishwa na bunge maalum lililoteuliwa na Rais kutokana na bunge la kawaida. Kwa ujumla Katiba ya mwaka 1977 imefanyiwa mabadiliko mara 14 tangu ilipopatikana. Hata hivyo mengi ya mabadiliko hayo yamewakwepa wananchi isipokuwa yale ya 1983-1984 ambayo angalau yaliwashirikisha wananchi kwa kiasi fulani. Katika marekebisho hayo, NEC ilianzisha mjadala wa wananchi uliodumu kwa mwaka mmoja badala ya kufanya maamuzi yenyewe

P
 
1964-1977 kulikuwa na kila upande?

Au hoja ya Zitto Kabwe ni sahihi kwamba kuna Mamlaka 3 Kwenye Hati?
Hapo ndipo Nyerere alijivika koti la Muungano kwa kijitazawa kuwa Rais wa Muungano na Rais wa Tanganyika na kuifanya katiba ya Tanganyika kuwa katiba ya Muungano baada ya kuifanyia marekebisho kwa amri yake (Presidential decree).
 
Mi.i sijaelewa kidogo . Umesema wajumbe walijikita kutunga katiba ya CCM. (Chama) Je katiba ya Tanzania (nchi) ilitungwa au la!!. Na kwa nini katiba ya chama ikapitishwe na bunge? Naomba ilimu hapo mkuu.
 
CCM ingekuwa na watu wa maana kama wa enzi hizo tungekuwa mbali sana

Now UVCCM imekuwa mtambo wa kuzalisha watu wajinga
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi murua

Wewe ni Hazina hapa JF
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
TUNATAKA KATIBA ITAKAOWASHIRIKISHA WANANCHI WOTE PIA TUNAITAKA TANGANYIKA YETU KWANINI IFE HALI WANANCHI WAKE TUPO? KAMA NI KUFA TUFE WOTE NA ZANZIBAR IFE
 
Back
Top Bottom