Heshima kwenu wakuu,
Kuna ndugu yangu ana shule ya msingi ikiwa bado mpya kabisa,hivyo ameambiwa awe na katiba ya shule kama moja ya vigezo ili aweze kupata usajili.
Naomba kujua/kupata sample ya hiyo Katiba ya shule,nimejaribu kuangalia kwenye "Gugo" lakini sijapata msaada.
Posho kama asante italowewa kwa mwenye kusaidia.
Mchana mwema.