byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,066
- 951
Ya taifa na Ile ya chichiemu ziko ndani ya wakati?Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba
Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
Chadema ni genge la wahuni tu hakuna mwenye machungu pale wote wachumia tumboKabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba
Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
Je genge la wanachukua chako mapema(ccm) ni genge la wasafi/wema?Chadema ni genge la wahuni tu hakuna mwenye machungu pale wote wachumia tumbo
USSR
Hii tabia imeota mizizi ccm.Hii nimeiona sana kwenye twitter na Maeneo mengine , mtu fulani Kama haja Sema msimamo wake wanasikilizia Kama wako neutral ila akisha Sema hata Kama ni upuuzi wote hukohuko, hasa wengi wanasikiliza
We byembalilwa wee...!, unataka kuizungumzia katiba ya Chadema...Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba
Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
Ni muda Sasa kifutwe , kuanza upya sio ujingaWe byembalilwa wee...!, unataka kuizungumzia katiba ya Chadema...
tembelea kwanza mitaa hii...
Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19
Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...www.jamiiforums.com
Fukuza Fukuza ya Uanachama: Kumbe Katiba ya CHADEMA ina makosa?
Wanabodi, Baada ya kuenea kwa uvumi wa timua timua nyingine Chadema, ambapo inasemekana kikao cha Bavicha, kimewavua uanachama wa Bavicha, wanachama wake watatu ambako kuvuliwa huko uanachama wa Bavicha, kutapelekea wanachama hao kupoteza sifa za uanachama wa Chadema automatically kwa mujibu...www.jamiiforums.com
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!
Wanabodi, Iwapo itathibitika pasipo shaka, (proven beyond reasonable doubt), kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA, walijua, walishiriki, na walihusika kwa namna moja au nyingine, katika upangaji au utekelezaji wa vitendo vyovyote vya kuvuruga amani na utulivu wa taifa hili!, Chama hiki kitapoteza...www.jamiiforums.com
P
Wepare akili zimehama kabisa , anzeni huko kwenuJukumu letu sisi kama chadema ni kuhakikisha nchi inapata katiba mpya.
Kawashauri ccm kenge wewe!Byembalilwa habari ya Muleba!
Nina maswali kwako
1. We ni Mwana CHADEMA?
2. Unaijua katiba ya CHADEMA?
3. Mapungufu yake ni yapi?
Mi ni mwana CCM siwezi kujitia najua sana mambo ya CHADEMA.
Ila Nina mambo ya msingi ya kuwashauri.
1. Wa wape imani wananchi wanataka nini hasa siyo kuyumba yumba
2 . Waruhusu Mijadala huru ndani yao siyo kusikilizia nani atasema nini ndo wengine wa comment !
Hii nimeiona sana kwenye twitter na Maeneo mengine , mtu fulani Kama haja Sema msimamo wake wanasikilizia Kama wako neutral ila akisha Sema hata Kama ni upuuzi wote hukohuko, hasa wengi wanasikiliza Lema Au Lissu kasema nini mtandaoni hata Kama siyo fact !!
3. Watoke kwenye uanaharakati wajijenge kitaasisi zaidi kuliko kukumbatia hoja za kutaftiza taftiza ili mtu afungwe waanze free someone!!
4 . Wajitenganishe hoja zao na za wale wanaojiita wanaharakati maana wanaharakati wengine hawatabiliki mda wowote unaanchwa solemba
Huko twitter wamewekwa mfukoni Kabisa na baadhi ya wanaharakati’
Hata Kwa mambo ambayo si ya msingi!
Leo hii agenda ya CHADEMA ni pet issue kisa imeanzishwa na Sarungi eti ROYAL TOUR IMEWATUKANA WAMASAI KUWA NI PRIMITIVE ….
5. Acha Ku over rely kwenye kutembeza bakuli nasikia sasa wa naitwa Chama cha michango ( Rambirambi party) hii si nzuri
6. Vijana wapunguze matusi mitandaoni hata hapa kwenye uzu huu hautafika mwisho utaona
Haya ndo ya msingi Kabisa
Britanicca
Haka jamaa kajinga, nilikadharau kitambo eti, bila chadema kubadili katiba yao hakuna haja kuandika katiba mpyaWe byembalilwa wee...!, unataka kuizungumzia katiba ya Chadema...
tembelea kwanza mitaa hii...
Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19
Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...www.jamiiforums.com
Fukuza Fukuza ya Uanachama: Kumbe Katiba ya CHADEMA ina makosa?
Wanabodi, Baada ya kuenea kwa uvumi wa timua timua nyingine Chadema, ambapo inasemekana kikao cha Bavicha, kimewavua uanachama wa Bavicha, wanachama wake watatu ambako kuvuliwa huko uanachama wa Bavicha, kutapelekea wanachama hao kupoteza sifa za uanachama wa Chadema automatically kwa mujibu...www.jamiiforums.com
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!
Wanabodi, Iwapo itathibitika pasipo shaka, (proven beyond reasonable doubt), kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA, walijua, walishiriki, na walihusika kwa namna moja au nyingine, katika upangaji au utekelezaji wa vitendo vyovyote vya kuvuruga amani na utulivu wa taifa hili!, Chama hiki kitapoteza...www.jamiiforums.com
P
Dogo mi nadhani KWANZA Tuanze na katiba mbovu ambayo imehodhi madarasa hairuhusu maraisi wazuri toka vyama vingine kushika dola haiwezekani toka 1961 chama kimoja tu,. alafu kimechokaKabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba
Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
Watu wanataka katiba ya nchi, wewe unaongelea katiba ya Chadema chama chenye wanachama 2m, vp ushapitia katiba za UDP, TLP, NCCR,Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba
Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
Bika shaka mkuu hata katiba ya chadema haujawahi kuisoma!Watu wanataka katiba ya nchi, wewe unaongelea katiba ya Chadema chama chenye wanachama 2m, vp ushapitia katiba za UDP, TLP, NCCR,
Umevimbiwa pilau unakuja kuharisha humu, jitafakari m