Katiba ya chadema imepitwa na wakati

Katiba ya chadema imepitwa na wakati

byembalilwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
2,066
Reaction score
951
Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba

Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
 
Byembalilwa habari ya Muleba!

Nina maswali kwako
1. We ni Mwana CHADEMA?
2. Unaijua katiba ya CHADEMA?
3. Mapungufu yake ni yapi?

Mi ni mwana CCM siwezi kujitia najua sana mambo ya CHADEMA.

Ila Nina mambo ya msingi ya kuwashauri.

1. Wa wape imani wananchi wanataka nini hasa siyo kuyumba yumba

2 . Waruhusu Mijadala huru ndani yao siyo kusikilizia nani atasema nini ndo wengine wa comment !

Hii nimeiona sana kwenye twitter na Maeneo mengine , mtu fulani Kama haja Sema msimamo wake wanasikilizia Kama wako neutral ila akisha Sema hata Kama ni upuuzi wote hukohuko, hasa wengi wanasikiliza Lema Au Lissu kasema nini mtandaoni hata Kama siyo fact !!

3. Watoke kwenye uanaharakati wajijenge kitaasisi zaidi kuliko kukumbatia hoja za kutaftiza taftiza ili mtu afungwe waanze free someone!!

4 . Wajitenganishe hoja zao na za wale wanaojiita wanaharakati maana wanaharakati wengine hawatabiliki mda wowote unaanchwa solemba

Huko twitter wamewekwa mfukoni Kabisa na baadhi ya wanaharakati’

Hata Kwa mambo ambayo si ya msingi!

Leo hii agenda ya CHADEMA ni pet issue kisa imeanzishwa na Sarungi eti ROYAL TOUR IMEWATUKANA WAMASAI KUWA NI PRIMITIVE ….

5. Acha Ku over rely kwenye kutembeza bakuli nasikia sasa wa naitwa Chama cha michango ( Rambirambi party) hii si nzuri

6. Vijana wapunguze matusi mitandaoni hata hapa kwenye uzu huu hautafika mwisho utaona

Haya ndo ya msingi Kabisa

Britanicca
 
Ya taifa na Ile ya chichiemu ziko ndani ya wakati?
 
Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba

Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
Chadema ni genge la wahuni tu hakuna mwenye machungu pale wote wachumia tumbo

USSR
 
Hii nimeiona sana kwenye twitter na Maeneo mengine , mtu fulani Kama haja Sema msimamo wake wanasikilizia Kama wako neutral ila akisha Sema hata Kama ni upuuzi wote hukohuko, hasa wengi wanasikiliza
Hii tabia imeota mizizi ccm.
Jiwe aliimba kuhusu kukataa kwenda nje, kukopa, na chanjo ya korona. Na akawaita wazungu kuwa ni mabeberu. Ccm wote mkatikisa kubaliana naye.

Amekuja huyu wa Mwembe Mchomeke ameimba kinyume chake. Na kuna beberu linaitwa Peter Green(nini?) mpk limemchezesha scene. Ccm wote mnatikisa mikia
 
Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba

Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
We byembalilwa wee...!, unataka kuizungumzia katiba ya Chadema...
tembelea kwanza mitaa hii...

P
 
Jukumu letu sisi kama chadema ni kuhakikisha nchi inapata katiba mpya.
 
We byembalilwa wee...!, unataka kuizungumzia katiba ya Chadema...
tembelea kwanza mitaa hii...

P
Ni muda Sasa kifutwe , kuanza upya sio ujinga

USSR
 
Byembalilwa habari ya Muleba!

Nina maswali kwako
1. We ni Mwana CHADEMA?
2. Unaijua katiba ya CHADEMA?
3. Mapungufu yake ni yapi?

Mi ni mwana CCM siwezi kujitia najua sana mambo ya CHADEMA.

Ila Nina mambo ya msingi ya kuwashauri.

1. Wa wape imani wananchi wanataka nini hasa siyo kuyumba yumba

2 . Waruhusu Mijadala huru ndani yao siyo kusikilizia nani atasema nini ndo wengine wa comment !

Hii nimeiona sana kwenye twitter na Maeneo mengine , mtu fulani Kama haja Sema msimamo wake wanasikilizia Kama wako neutral ila akisha Sema hata Kama ni upuuzi wote hukohuko, hasa wengi wanasikiliza Lema Au Lissu kasema nini mtandaoni hata Kama siyo fact !!

3. Watoke kwenye uanaharakati wajijenge kitaasisi zaidi kuliko kukumbatia hoja za kutaftiza taftiza ili mtu afungwe waanze free someone!!

4 . Wajitenganishe hoja zao na za wale wanaojiita wanaharakati maana wanaharakati wengine hawatabiliki mda wowote unaanchwa solemba

Huko twitter wamewekwa mfukoni Kabisa na baadhi ya wanaharakati’

Hata Kwa mambo ambayo si ya msingi!

Leo hii agenda ya CHADEMA ni pet issue kisa imeanzishwa na Sarungi eti ROYAL TOUR IMEWATUKANA WAMASAI KUWA NI PRIMITIVE ….

5. Acha Ku over rely kwenye kutembeza bakuli nasikia sasa wa naitwa Chama cha michango ( Rambirambi party) hii si nzuri

6. Vijana wapunguze matusi mitandaoni hata hapa kwenye uzu huu hautafika mwisho utaona

Haya ndo ya msingi Kabisa

Britanicca
Kawashauri ccm kenge wewe!
 
Tupe basi mfano wa huo udhaifu wa Katiba ya Chadema ili tuujadili hapa.

Au kama udhaifu huo ni pale uliposema nafasi ya mwenyekiti ina hodhiwa muda mrefu na mtu mmoja kwangu hilo sio tatizo, provided mwenyekiti huyo anapigiwa kura za ushindi na wanachama wengi.

Hii ni kuonesha kwamba wengi bado wanamuamini (hapa ni tofauti na unavyosema Katiba hiyo haitoi uhuru kwa wanachama) wacha uongo.

Wengi wenu naona huwa mnakuja na hii hoja kwasababu ya chuki zenu binafsi kwa Mbowe, nothing else, unless mngenionesha udhaifu wa Mbowe kiutendaji kama kiongozi ndio ningewaelewa, lakini sio mnalia jumla jumla "Katiba ya Chadema ni mbovu"
 
We byembalilwa wee...!, unataka kuizungumzia katiba ya Chadema...
tembelea kwanza mitaa hii...

P
Haka jamaa kajinga, nilikadharau kitambo eti, bila chadema kubadili katiba yao hakuna haja kuandika katiba mpya
 
Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba

Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
Dogo mi nadhani KWANZA Tuanze na katiba mbovu ambayo imehodhi madarasa hairuhusu maraisi wazuri toka vyama vingine kushika dola haiwezekani toka 1961 chama kimoja tu,. alafu kimechoka
 
Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba

Katiba mpya ya Chadema ni sasa.
Watu wanataka katiba ya nchi, wewe unaongelea katiba ya Chadema chama chenye wanachama 2m, vp ushapitia katiba za UDP, TLP, NCCR,
Umevimbiwa pilau unakuja kuharisha humu, jitafakari mkuu,
 
Watu wanataka katiba ya nchi, wewe unaongelea katiba ya Chadema chama chenye wanachama 2m, vp ushapitia katiba za UDP, TLP, NCCR,
Umevimbiwa pilau unakuja kuharisha humu, jitafakari m
Bika shaka mkuu hata katiba ya chadema haujawahi kuisoma!
 
Back
Top Bottom