Katiba ya CCM na Vyombo vya Dola

Katiba ya CCM na Vyombo vya Dola

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
564
Reaction score
112
318.jpg


Hakuna shaka kua katiba hii ya ccm haina ridhaa ya wananchi wala vyama vikubwa vya upinzani nchini, hii ni katiba ya Ki (DICTATOR) ambayo ufanyaji wa kazi yake utatokana vyombo vya Dola kutumia (Nguvu) zidi ya raia.

Usimamizi wa Katiba hii itakua ni kutumia vyombo vya Dola kushurudisha yani Raia watanza kukamatwa kamatwa na kubambikiziwa makesi ya Luangwa ,chuki za kisiasa zitanza kabuki na chama tawala hakuna shaka kitakua kinavitumia vibaya vyombo vya Dola kwa shuhuli zao za Kisiasa ambalo jambo hilo tumelizowea.

Hivi sasa tayari kuna mikakati kabambe yaku vizibiti vyama vya kisiasa hususani vile vikuu CHADEMA na CUF ili visifurukute na washindwee kufanya shuhuli zao kwa kutumiwa Vyombo vya Dola na CCM , Watabanwa kufanya mikutano ya Hadhara na Mandamono na vyombo vya Dola vitatafuta visingizio na Sababu ili tu washindwee kufanya Shuhuli zao kwa Uwazi .

Tokea mchakato huu kutekwa na CCM tumeshaona wanavyo vitumia vyombo vya Dola vibaya zidi ya raia na hivi sasa kwavile tunaelekea katika kura ya maoni itakayo pingwa na Wananchi wa Tanzania ,basi tutashuhudia unyanyasaji mkubwaa wa vyombo vya Dola zidi ya raia.

Hatuna wasiwasi kua katiba itakikanayo hii na ccm itapita bila kupingwa kwa vile wamehodhi Nyanja zote za udanganyifu mfano tume za Uchaguzi NEC na ZEC na force ya Vyombo vya Dola kufanya kazi za kichama (CCM).

Kwa hio katakana na hali hii nilazima vyama vya upinzani kuanzia sasa Waitangi upya kupambana na CCM na tasisi zake ikiwemoo vyombo ya Dola na mahkama nchini, bila ya kuto kujipanga basi haki aitopatika na kwa kutengemea mahkama wakati zote hizo nikatika tasisi zake CCM.

Jee vyama ya Upinzani mumejifunza nini kuhusu Uchaguzi mkuu wa 2015 haliyakua CCM wamepindua nchana matokeo ya mchakato wa Katiba?

Hakuna shaka kuwa hili lilikua ni funzo zidi yenu kwa njia ya kuelekea uchaguzi mkuu ambao matayarisho yake huanza kabla ya siku kufika ambayo tumebakia na siku chache tu kufika katika uchaguzi mkuu wa 2015 October,

Hivi kwela vyama vya upinzani ccm itakua tayari kuridhika kiungwana kuchindwa na wakatoa Nchi iongozwee na Vyama vya Upinzani ikiwa wameweza kupindua mchakato wa katiba wayside vipi kutumia tasisi zao za tume za Uchaguzi NEC/ZEC kubadilicha matokeo ?,Hii haingii akilini kabisa .

Njia pekeyake ya ccm kuingoa ni kuamua watakavyo ndio tutakavyo na wachezavyo ndivyo tutakavyo cheza , lakini kusema vyama vya upinzani wazitegemee tume za Uchaguzi au kuibiwaa na kusema wakimbilie Mahakamani? Ni kujidanganya na kupoteza muda wao.

Kwa style hii hakuna mahkama itakayo wafanyia haki kwa vile tumezoea kuona tume za uchaguzi ,Vyombo vya Dola na Mahkama vyote ni matawi ya CCM.
 
bado watanzania wametawalia na mkoloni mweusi, Tz hakuna demokrasia, watu wake hawapo huru system iliyopo ni ya ki-dicteta. watanzania mkiamua munaweza kutoka hapo sasa duniani kote saivi kuna mageuzi
 
bado watanzania wametawalia na mkoloni mweusi, Tz hakuna demokrasia, watu wake hawapo huru system iliyopo ni ya ki-dicteta. watanzania mkiamua munaweza kutoka hapo sasa duniani kote saivi kuna mageuzi

Wacha ujinga beba ma box huko mambo ya tz hayakuhusu
 
Tangu mwaka 09/12/1961 TANU-CCM ilifunga ndoa na TISS. Baada ya Tanzania kuingia mfumo wa vyama vingi bado CCM na TISS wameendeleza ndoa yao.

Kila lifanywalo hapa nchini Tanzania na TISS hufanywa kwa maslahi ya CCM si kwa maslahi ya Taifa. Wana UKAWA hawawezi kukabidhiwa Nchi ikiwa bado TISS inafanya kazi na kupokea maelekezo yote chini ya vigogo wa CCM ambao ni mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa na mkuu wa nchi hawa makada hufanya vikao, hupokea taarifa zao na wakati mwingine huwaelekeza cha kufanya kwa wakati gani kwa maslahi yao ya kisiasa.

Bashite hadi sasa hajashughulikiwa, huu ni mfano mojawapo kwa namna gani vyombo vya Usalama huelekezwa cha kufanya na CCM kwa maslahi yao ya kisiasa.

Wanasheria na wabunge andaeni hoja binafsi ipelekwe bungeni iangaliwe namna fulani ya kuitenganisha CCM na TISS vinginevyo ikulu UKAWA Mtaendelea kuichungulia kwa nje miaka Yote.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Ungejua unyeti na umuhimu wa hao mabwana wa mstari , hakika usingekuja kubwabwaja maneno mbofu mbofu hapa jamvini namna hiyo.

Kukaa kwako , kulala kwako, kusatehe kwako, kujikuna kwako, kubarizi kwako, kusoma kwako, kuuza kwako genge, kuingia kwako JF muda wowote , kuangalia kwako taarifa ya habari saa 2 usiku, kwenda kwako msibani, harusini, n.k koooteeeee huko kunafanikishwa na kazi iliyotukuka ya hao mabwana either direct or indirect , either in a visible or invisible manner. Siku ukiwakosa wazalendo kama hawa hakika utalia na kusaga meno.

Ila kwasababu Watanzania ni watu wa style ya kinyonga , leo hii tutawaona kama hawafahi ila siku wakiingia hao wengine mnao dhani watakuja kuwaletea maziwa , asali na siagi. ndipo mtajuuuuta kukutwa na bwana pepsi na kubaki kusema " Tungejua......" .

Asiye sikia la mkuu .
 
MeinKempf,

Haya yote sawa shida ni kujihusisha na kuilinda CCM badala ya kufanya mambo ya kitaifa kuiba technology toka nchi za wenzetu, kusimamia usawa ktk kufanya siasa na kuhakikisha hawaruhusu wanasiasa wababe kama Lipumba, JPM, Mtungi nk kutuvurugia nchi
 
Wanasheria na wabunge andaeni hoja binafsi ipelekwe bungeni iangaliwe namna fulani ya kuitenganisha CCM na TISS vinginevyo ikulu UKAWA Mtaendelea kuichungulia kwa nje miaka Yote.
MMBAAZI UKIKOSA KUZAA HUSINGIZIA JUA.
 
Tukubaliane kitu kimoja, upinzani mmeshindwa kuwashawishi TISS, Jeshi, Polisi hata umaa kwa ujumla kama mko tayari kubeba mzigo wa Tanzania, hili sio jambo lililo fichika.

TISS ina majukumu mengi, moja kati ya majukumu yao, ni kulinda ustawi wa hii nchi. Leo hii nchi ya amani na utulivu, ichukuliwe na watu wasiojielewa mwisho wa siku hakuna Tanzania wala amani.

Jipangeni kwanza ndio muaminiwe.
 
Haya yote sawa shida ni kujihusisha na kuilinda CCM badala ya kufanya mambo ya kitaifa kuiba technology toka nchi za wenzetu, kusimamia usawa ktk kufanya siasa na kuhakikisha hawaruhusu wanasiasa wababe kama Lipumba, JPM, Mtungi nk kutuvurugia nchi
Hao wote uliowataja kama mngekuwa na hoja madhubuti na thabiti za kuweza kuwa shitaki kwa yale wanayo yafanya
basi mbona milango ya mahakama iko wazi , kwani mahakama ni chombo huru na cha hak kwa wote, no one is above the law.
 
Hao wote uliowataja kama mngekuwa na hoja madhubuti na thabiti za kuweza kuwa shitaki kwa yale wanayo yafanya
basi mbona milango ya mahakama iko wazi , kwani mahakama ni chombo huru na cha hak kwa wote, no one is above the law.
Mahakama haijawahi kuwa huru, polisi ndio usiseme kwa nini hadi sasa makonda hajatiwa korokoroni?
 
maharage,kunde,ngano au mchele chuya hazikosekani, na kwenye siasa kuna chuya pia..
Sasa kama mwajua hazikosekani, Je Nini kipi cha kufanyika pindi unapokutana na mchanyato kama huo..?? Maana watanzania wengi ni watu wa kupenda kudandia mambo juu juu bila ya ufahamu wa kutosha wa jambo husika.
 
Back
Top Bottom