Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Katiba hii ina mamboi mengi yanayao changia kurudisha nyuma taifa ,kwakweli haija kidhi vigezo vya kutisha kabisa kuliendeleza taifa hili zaid vipo vigezo vingi vya kulizorotesha tafa kwa sababu ndani yake ina mifumo ambayo ndio chachu ya kuendelea kulitafuna taifa
Haivyo tatizo la umaskini na chanzo kikuu cha umaskini wala si serikali wala rais wala wananchi wake bali cha kwanza kabisa ni katiba ,
Kiongozi yeyote atakae ingia madarakani iwe 2020 au 2025+ nashauri kabla ya kitu chochote aanze na katiba kwanza ili ndani ya katiba iwekwe mifumo yenye lengo kuu la kulivusha taifa hapa lilipo
Niwaombe wachangiaji pitieni katiba yetu vipengere vyote kwanza, kama mkiweza halafu mje tuendeleze mjadala
Niwaombe wakurupukaji ,wafia vyama,kina mahaba niue na wafananao uzi huu hauwatoshi kabisa upo juu kabisa ya uelewa wwnu maana nawafahamu vyema.