Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,049
- 7,489
Hapa naona unachukulia kirahisi sana..........Sawa, na ni ukweli kwamba ma - DC ndio wenye muda wa kufanya hii shughuli ya ukilaza.Mnatupotezea muda kwa maswala yasiyo na maana.
Hata kilaza yeyote anaweza kuandika tangazo kuwaambia watu kuwa leo kutakuwa na mkutano kati ya wananchi na tume ya katiba.
Sasa DED hapa anaingiaje?..... yaani kazi yake haihusiani kabisa na siasa. Anne kilango yuko right.
Nyie wote ushabiki ndiyo unawazingua, hamna pointi.
Lakini kwenye siasa, watu hawachukulii kirahisi namna hiyo............kwamba DC akiamua (bila hata kuambiwa na boss wake) kubana yeyote anayetaka kutoa elimu, ambaye yeye anamuona ni threat kwa chama chake.