Habari njema hii lazima tuwe na serikali tatu.Tunataka Tanganyika irudi ,hebu jiulize swali rahisi: Neno Tanzania ni matokeo ya nini na nini?, Na kwanini Tena kuwepo serikali ya mapinduzi zanzibar na kusiwepo serikali ya Tanganyika.Eti tunapunguza hasira za watanzania kwa kuwadanganyia na maneno ya Tanzania bara na Tanzania visiwani.Lakini hakuna historia inayoonesha kuwepo kwa muungano kati ya Tanzania bara na Tanzania visiwani,otherwise maneno haya yana maanisha kwamba hata watawala wetu wana taka serikali tatu bila kujua,