Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Katiba ni agano na mkataba kati ya wanadam na Mungu namna na jinsi wataka ishi ndani ya taifa lao,tena maoni ya kila mmoja lazima yaheshimike na hasa ya wananchi wa kawaida kwani wao ndio wanaoongozwa na viongozi wao.Kwa mantiki hio ni zambi na kosa kubwa kwa chama au kikundi cha kupuuzia kwa maoni ya wananchi eti tu kwa sababu umepewa nafasi ya kuwawakilisha.UKAWA NA CCM kaeni chini mtafakari upya na mrekebishane kama hamkuwa na tafsiri sahihi ya katiba,kwani nawaona mnabishana kana kwamba mnahisi mnatengeneza kitabu cha hadithi za bunuasi..Kuna wengine wanatetea mambo na wanatuambia sisi wananchi kuwa eti kundi flani linazusha,hivi mnawadharau kiasi hicho wananchi kwamba wao hawaoni bunge linavyoenda? Sio hayo mnayosema ati UKAWA WANATAKA.KULETA VITA NCHINI,KAMA MAONI YETU HAYATAPUUZWA hatuoni kama hao ukawa wataasikilizwa lakin mkipuuzia aaaa tutawaskilza kwani wao ndio wanaonekana kututetea sisi wanyonge...ccm msihisi sisi hatufatilii mwenenendo wa bunge hata mnakanusha baadhi yaamambo ambayo tunayaona hapo bungeni pls fanyieni mdhaha kodi(posho)zetu lakini sio maoni yetu!.