Katiba mpya

joika

Member
Aug 31, 2010
37
7
Habari wana JF.

Kila mwananchi kwa sasa kilio ni katiba mpya, mbali na Tume kuundwa tutawezeja kuhakikisha kila mwananchi anaifahamu katiba ya zamani na kufanya maamuzi ya msingi. Siyo sisi wenye upeo wa kuipata na kuisoma tufanye maamuzi tu. Serikali ichapishe majarada hata 3 ndani ya magazeti wa serikali.
 
Hilo siyo suruhisho, magazeti yanafikia sehemu ndogo ya wananchi, bora ungelishauri kuandaliwa vipindi vya radio.
 
Back
Top Bottom