Katiba mpya

Katiba mpya

babascarret

Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
31
Reaction score
6
Mr president amesema UKAWA wametoka bungeni kwa sababu hawajaona maslai yao thus means ccm wameyaona maslai yao ndio maana wanang'ang'ania serikal mbili. Kazi ipo
 
Kazi ipo kweli,maana kila moja amemshika mwenzake kwenye angle ya 18!
BMK inahitaji kura ya visiwani kupata 2 third ambayo ukawa wanayo,na 2 third ya bara ambayo CCM wanayo!
Lugha gongana hapa,wenye uamuzi ni kura ya maoni tu hamna namna au BMK lipige kura ya siri ndio ukweli utakuwa wazi maana hata wawakilishi wa CCM kunawengi wanataka serikali 3 wamelazimishwa tu kupiga kura ya wazi.
 
Ingewapasa UKAWA waendelee kuchangia hoja zao Hapo bungeni ili mwisho was siku watuletee sisi wananchi wa chini tupige kura . kama walishiliki katika kutunga kanuni na wakapewa muda wa kusoma maoni ya wachache na wakapewa mud a wa kuyatafsili nini sababu kubwa ya wao watoke na kama wana mapenzi mazuri na nchi yetu ni kwanini wanakubali kuchukua posh?
 
Wachangie nn? mbona mnajifanya hamuwaelewi UKAWA? pelekeni rasimu ya Warioba bungeni yenye serikali 3 ambayo ni maoni ya wananchi.
 
Mr president amesema UKAWA wametoka bungeni kwa sababu hawajaona maslai yao thus means ccm wameyaona maslai yao ndio maana wanang'ang'ania serikal mbili. Kazi ipo

I am watching proceeding at an angle theta. Zanzibar huru is around the corner.
 
Sio kana kwamba ukawa hawaeleweki LA hasha wanaeleweka Vizuri sana tatizo lao ni pale wanaposusia bunge hawaingii na kisha kula posho hali kwamba walipitisha wenyewe kanuni za kuliongoza bunge LA katiba na kupendekeza watoa maamuzi was mwisho ni wananchi sasa Mbona hawatimizi ahadi zao za kuwapelekea wananchi ili wapige kura? magilapeak
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom