Ndugu watanzania wenzangu, naomba tuwe makini sana na mchakato wa katiba kwani ndio hatima ya taifa letu kwa miaka mingi ijayo. kwa sasa jambo linalojadiliwa sana ni aina ya muungano au muungano uwe vipi.. hoja hii imeteka akili za watanzania wote.
binafsi naona tungefikiria mambo ya msingi kama yafuatayo
1. KODI; taifa lenye hekima litatamka kodi kwenye katiba namna ya kutoza na usawa katika kodi, rasimu ipo kimya kabisa. maendeleo ya taifa lolote duniani yanategemea kodi.
2. PCCB taasisi hii muhimu na nyeti ilitakiwa iingie kwenye katiba na ipewe mamlaka kamili na iwe huru. Mkurugenzi wake adhibitishwe na Bunge.
3. MKAGUZI WA HESABU ZA SERRIKALI huyu naye adhibitishwe na bunge asiwe anateuliwa na raisi na pia apewe meno ya kushtaki wabadhirifu.
KIPENGELE KINACHOMPA MADARAKA DPP ya kufuta kesi kiondolewe kwani ni kichaka cha ujambazi
naomba kutoa hoja