Katiba mpya

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Watanzania wenzangu,
We don't have to invent the wheel, this is particularly for academicians and learned people (sio kuwa nawadharau watu wengine, la hasha). Haya mambo ya katiba ni technical, hivyo tunaweza pata mwongozo kwa waliotutangulia. Kenyan constitutional can be a guide to us. For law students, If you look at Tanzanian Law of marriage act,1971, you will note is modeled along side that of Kenya. We can modify maoni yetu along side with the Kenyan constitution to suit our needs!!!! It is very comprehensive and well writen. Sikatai kuna mapungufu lakini hayo ndiyo ya kuyarekebisha yaendane na matakwa yetu. Nasema hivi kwa maana nimeona watu wanatoa maoni ya vitu vya ajabu, ni kwa sababu walio wengi si wataalamu wa haya mambo we need a template!!!!
 
Tuanze na jambo la msingi, either zanzibar iwe mkoa, ama tuvunje muungano, the tujadili hivyo vipengele vya ndoa, nini....!
 
Back
Top Bottom