Katiba mpya................

Katiba mpya................

2my

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2010
Posts
287
Reaction score
7
Je? ni kitu gani ungependa kiwepo kwenye katiba mpya?sikiliza maoni yafuatayo:-

DEREVA:-Trafiki wasiwepo barabarani.

MFANYABIASHARA:-TRA itaifishwe.

WANACHUO:-Bodi ya mikopo imilikiwe na Dowans.

WAKAZI WA MBAGALA NA GONGO LA MBOTO:-Ghala la mabom lijengwe IKULU.

Na wewe toa maoni yako kwa uchambuzi zaidi.............
 
wabunge wote warudi kwenye fani zao walizosomea waachane na siasa! wewe mtu kasoma hadi kawa dr bingwa na tena wako 6 tu tz nzima bado hao2 wanaachana na walichokisomea wanaingia kwenye siasa.
 
Back
Top Bottom