Katiba mpya ya nini?

mtweve

Member
Mar 28, 2009
96
8
Sipingi suala la katiba mpya,ila ni yaaina gani? Ya sasa inamakosa gani? Nilazima tuandke mpya? Kwa nini tusirekebishe ya sasa tu?
 
Huu mjadala au maswali ya Mtweve ni muhimu na silo kubeza,na nikwa faida ya wasiojua.Kama wewe unayaona ni yakike wengine twaona yamsingi kwani sio kilamtanzania anifahamu vizuri katiba ya sasa na mapungufu yake,hive usiwachanganye JF nimtandao wakuelimishana na sio mkumbo nakuburuzwa na Hasira au itikadi zamtubinafsi
 
Kuna jukwaa maalum kwa masuala ya katiba, sub-forum ya katiba, nikupe macho ya kuona ndugu?

Mods muvuzisha hii thread ASAP
 
Huu mjadala au maswali ya Mtweve ni muhimu na silo kubeza,na nikwa faida ya wasiojua.Kama wewe unayaona ni yakike wengine twaona yamsingi kwani sio kilamtanzania anifahamu vizuri katiba ya sasa na mapungufu yake,hive usiwachanganye JF nimtandao wakuelimishana na sio mkumbo nakuburuzwa na Hasira au itikadi zamtubinafsi

Nyie wote wendawazimu tu. Msiturudishe nyuma. Katiba mpya itaandikwa nyinyi wehu na jk wenu mtake msitake.
 
Lazima tuwe makini humu jamii forum. Jamani kuna sehemu za kuchangia kuhusu kabitiba na suala hili limejibiwa mara milioni katika thread za Katiba unalileta huku la nini? Soma kwanza mazingira ya wavuti ndo uanze kuandika si kujiandikia tu.
Hii siyo wavuti ya vijembe kama bunge letu lilivyokuwa siku hivi. Heshimuni maelekezo yaliyotolewa. Siku nyingine tunakupiga bun. :A S 20:
 
Sipingi suala la katiba mpya,ila ni yaaina gani? Ya sasa inamakosa gani? Nilazima tuandke mpya? Kwa nini tusirekebishe ya sasa tu?

hapa tulipo ni kutokana na katiba iliyopo inaonekana una uelewa mdogo na nchi yako, hudhuria makongamano ya katiba utapata majibu mwafaka
 
Kimsingi katiba mpya tunaitaka na sio tunaiomba maana hapa tulipo na maisha haya ya ufukara yamesababishwa na katiba hii ya enzi za mwalimu,ndo maana tunaitaka akatiba mpya so that iendane na mazingira ya sasa.
 
Back
Top Bottom