Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
Understandable, lakini ni muhimu tukawa na alternative ya Independent Party ili the Kafulilas wawe na safe heaven.
..........Ila sasa ndio umejuwa kwamba CCM ndio chama tawala!!?Sikujua kama na CCM ni chama cha upinzani !
Bila shaka anaamanisha wagombea binafsi. maana sasa hivi Tanzania tuna vyama viwili tu CCM na Chadema TU. Huu ndio ukweli wenyewe.Una maanisha nini unaposema Independent party mkuu? umeniacha.
kati ya wote ya Mkullo ndiyo kali.. Hana Adv cert,ana Ordinary Diploma,hana degree,lakini ana Masters!
Nasasa ni Waziri wa Fedha, Tanzania patamu jamani kikubwa ukiwa kwenye system tuu.kati ya wote ya Mkullo ndiyo kali.. Hana Adv cert,ana Ordinary Diploma,hana degree,lakini ana Masters!
CUF si tayari walishakuwa part of the ruling party CCM au I am missing something?
What about CUF?
What about CUF?
- People unajua NCCR wanatukumbusha umuhimu wa kuondoa utitiri wa Vyama vingi hewa vya Upinzani tulivyonavyo. Wakati umefika ni muhimu through katiba mpya tukavunja vyama vyote vya Upinzani na kubaki na Vitatu tu, CCM, Chadema na Independent Party.
- I mean we cant afford as a Nation kuendelea na this foolishness of mediocre represantation ambapo Wenyeviti wa Vyama vetu vya siasa wanakuwa Semi-Gods through our Ruzuku but no record of anything worthy to us the people of what they are doing with our money zaidi ya kugombana na kufukuzana ambayo ni furaha ya CCM.
- People we need to take our Nation back, from the Mbatias and the likes na ni muhimu tukawa na Independent Party kuondoa ufalme wa Wenyeviti wa Vyama vikuu Viwili tu vya siasa under new katiba.
William @..NYC,USA: Mutuz Le Baharia Big Show!
sikiliza wewe Dr. W acha ungese............ una issues na Mkulo na tunakuunga mkono basi usiwe carried away kila sehemu ana shahada feki na wewe ni mmoja wao mnaokaa na kujadili mustakabali wa taifa including kutumia voda kutukana watu.................go to Mkulo thread au kakojoe ulalle usubiri kesho tena fava za NSSFkichwa cha habari kimenichanganya kidogo
sasa una maoni gani juu ya hizi tuhuma za waziri wa fedha Mkulo na balozi kamala na mheshimiwa Lukuvi kuwa na degrees na Phd feki?
Chill out son!sikiliza wewe Dr. W acha ungese............ una issues na Mkulo na tunakuunga mkono basi usiwe carried away kila sehemu ana shahada feki na wewe ni mmoja wao mnaokaa na kujadili mustakabali wa taifa including kutumia voda kutukana watu.................go to Mkulo thread au kakojoe ulalle usubiri kesho tena fava za NSSF
mambaffffffffff
Understandable, lakini ni muhimu tukawa na alternative ya Independent Party ili the Kafulilas wawe na safe heaven.