fansureboy
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 271
- 320
Wataongelea wapi angali washazibwa midomo... Wapewe uhuru wa kuongea ndo tutajua wanaajenda gani na sera gani. Naimani pindi wapinzaani wakipata nafasi ya uhuru bila nguvu za polisi basi tutasikia mengi hata tusiyo yadhaniaNadhani kwa sasa Agenda kuu ya vyama vya upinzani sio katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi
Agenda kubwa walizonazo ambazo ni za muhimu sana kwa wao kwenda ikulu ni njaa na swala la vyeti feki
Endeleeni hivyo hivyo na movement ya cheti cha mtu mmoja adi ikifika 2019 ndio mtajua nini maana ya sera na mikakati ya kuchukua nchi
RAPHAEL LUKINDO
0765499321